johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,719
- 143,156
Imenibidi nichukue Bible yangu na kusoma Kitabu cha Mambo ya Nyakati ili nijipe Maarifa na kumbukumbu sawia
Nashawishika kusema Nyakati Hizi ni za Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere
Mwenye Masikio na Asikie
Yesu akimwambia Petro " kabla Jogoo hajawika utanikana mara 3"
Yesu akawaambia wale thenashara " Mmoja wenu atanisaliti" na hakumtaja kwa Jina ila alimtowelea
Hapo kuna Somo kubwa sana
Nuru ya Shujaa Magufuli inang'ariza Nchi kuelekea 2025
Hakunaga namna, Sabato Njema 😄🔥