Kwanini JK hakubaliki ndani ya EAC?


ndiyo madhara ya wageni kujipenyeza na kujifanya watanzania! Wewe siyo mtanzania kabisa! Umekomaa,unafaida flani ya ndugu zako waje wavamie ardhi yetu eeh!
 
what u think if president of somalia visit here every now n then......all eyes on Jk ....
 

Ndugu yangu RUTA, don't you forget kuvunjika kwa East Africa mwaka 1977 na jirani zetu walivyo rejoice kuhusu hilo. Nachotaka kusema hapa ni kwamba Wakenya hawajabadirika chochote kuhusu mstakabali wa nchi yetu, tusijidanganye hapa, wa Kenya hawatakaa hata siku moja wakaitakia mema nchi yetu, mimi niliwahi kushuhudia mwenyewe kampeini walizo kuwa wanaendesha nchi za nje wakizungumzia mabaya kuhusu TANZANIA; it was a well organised crusade na kwa bahati mbaya hawakujuwa kwamba kuna watanzania waliokuwa wanaona na kusikia upotoshaji wao huo mkubwa. Watajifanya marafiki huku wakiwa na an hidden agenda ya kupora aridhi yetu na kugeuza wazawa manamba, hawana heshima hata kidogo kwa binadamu wenzao hata wenyewe kwa wenyewe, ndugu Ruta nimewahi kushudia kwa macho yangu huko ugenini - yaani mwanafunzi wa kabila la Kikuyu alikuwa hazungumzi kabisa na Mkalijeni au Mjaruo, leo hii utegemee atamheshimu mswahili kweli! - hawa ni watu wa aina gani?

Haya mambo ya fast track to sijuhi federation sijuhi nini, ni gimmick za Wakenya kuwahadaa waswahili na watu wengine tuwaone ni watu wanao taka ushirikiano-waongo tu, maneno yote na lawama eti Tanzania inasuasua katika jambo hili na mambo ya kuigiza tu, Kenya ndiyo inawashawishi wengine eti wajifanye wanataka kuitenga TANZANIA, shida yao kubwa ni ARIDHI repeat ARIDHI. JK, we don't need them, hawawezi kuwa wanatuendesha kama gari bovu.

Mwisho nataka kurudia niliyo kuwa nasema mara nyingi humu kwamba JK ni MEGASMART UPSTAIRS, tatizo la aridhi kwa majirani zetu linajurikana actually robo ya aridhi nadhani inamilikiwa na ukoo wa aliyewahi kuwa kiongozi mkuu Kenya, kwa hiyo mbinu zao za kutaka kuingia TANZANIA kiulaini kupitia the so-called EA sijuhi federation and what have you, hilo Jakaya alisha lliona kwenye darubini yake muda mrefu tu ndiyo maana anawaweka watu weledi ku-deal na wajanja hawa; wazungu usema once bitten...
 
..wawekezaji wakubwa toka Kenya wana access na ardhi yetu kama walivyo wawekezaji toka mataifa mengine.

..binafsi napenda kuelimishwa kwanini utaratibu ulioko sasa hivi unaonekana siyo mzuri kwa majirani zetu.

..pia ningependa kuelimishwa huo utaratibu wanaoupendekeza wao utakuwa na faida gani kwa Mtanzania wa kawaida wa sasa hivi na vizazi vijavyo.
 
Kiongozi nimefuatilia huu mnyororo wako lakini nina maswali mengi sana ya kukuuliza.
1.Naanza na hapo juu kwenye nyekundu, Ni ajira zipi ambazo Tanzania inategemea kupata toka EAC?
2.Kwanini unafikiri ni Bora turuhusu Ardhi yetu iingie kwenye Protokali ya EAC?
3.EAC Bila kuingiza Ardhi ya Tanzania kwenye Protokali itakuwa na matatizo yepi?
4.Je huoni kuwa Ardhi ya Wa-Tanzania ni mali yao? Na wanayo haki ya Kuamua vyovyote wanavyotaka juu ya hiyo?
Nawasilisha.
 
Duhh! umeniacha hoi, mtoa mada unauliza swali halafu unajibu mwenyewe, hii heavy.

Ff naomba mjibu huyo mnyarwanda'asione tunabishana hapa jamvini akafikiri hatupendani kama wao'isue ya ardhi italindwa na watanzania wote bila kujali itikadi ya siasa'na kama haamini hilo watuchokoze ndio wataona umoja wetu ukoje
 
Yaani hii thread yako imenikera mpaka basi/lori. Halafu nashangaa umeishupalia kama nini. Hatutaki kuungana nao na hasa kwenye ardhi na rasilimali asilia zetu, full stop. Nakama hapa Tz pamekushinda nenda kwenu na angalia wasije kukuita cockroach (mende) na kukupiga bisibisi kama mlivyofanyiana '94.
 
Mipaka ya nchi au maeneo imekuwepo hata kabla ya mkoloni, watu wa sehemu husika walilinda na kutetea mipaka yao kwa nguvu zote.Hivi tujiulize ni Mtanganyika gani atakaye kwenda kwa hawa majirani zetu na akapewa aridhi??Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi hutaweza kupewa hata kipande cha futi moja. Macho yote ya majirani zetu ni hii raslimali yetu na vizazi vyetu. Sishangai kwa baadhi ya wanaojiita Watanganyika; kutaka turuhusu majirani zetu kumiliki ardhi ya Tanganyika, hii ni kwasababu wana asili ya hizo nchi, sasa wanaona ni nafasi njema kwao kuwaleta jamaa zao waliobaki huko.Kwa hili ninaungana na Watanganyika wenzangu kutetea ardhi yetu; tukiruhusu kuna siku tutakuwa manamba."MUNGU IBARIKI TANGANYIKA na ENDELEA KUTUPA UJASILI WA KUILINDA ARDHI YETU"
 


kutokana na jina lako wewe ni banyamulenge, unataka ardhi yetu ichukuliwe why????? KEEP IT UP HE THE PRESIDENT, TRUE FRIENDS ARE SADC, OTHER EAC MEMBERS ARE JUST OPPORTUNIST
 
Hata kama ningekuwa na sipendi utawala wa Jakaya kwa hili la kuchukiwa kwa sababu ya kuwanyima Ardhi wakenya,waganda,warundi na wanyarwanda nkama kungelikuwa na haraiki ya kumbeba ningeshiriki.The only Place Mtanzania hajauzwa ni kwenye ardhi.Na hilo analijua kuwa wafanye makosa yote ndani ya Nchii lakini kosa la Ardhi MMMMMMMMMMMWweeeehhe Watanzania hawata wasamee kamwe.Hivyo potezee !!!!!!!!!
 
AGRISOL wamepewa tena 10,000 hactors huko MPANDA! kwa kipindi cha miaka 99! tena kwa kodi ya shilingi 700 kwa mwaka, 200 kwa mamlaka ya ardhi 500 kwa halmashauri.......

sisi huku KIBAIGWA tunakodi eka moja shilingi 15,000 kwa msimu, kwa ajili ya kulima alizeti!
 
Kila siku nauonaga huu uzi na leo nilpo ufungua umeniudhi sana aisee.
Yaani huyu ruta nani sijui alidhani kwakuwa JK ana matatizo yake so ameleta hili jambo kwa mgongo wa JK akitegemea kupata sapoti ya upupu wake wa kutaka aridhi yetu ije kuvamiwa kwa mgongo wa ea
 
TATIZO SIYO EAC, Tatizo ni JK kupeleka UONGO (kujipendekeza) kwa OBAMA.
Unakumbuka wakati fulani Kenya walifikia hatua ya kumlalamikia JK?
 
ujue nini kama haukubaliki nyumbani huwezi ukakubalika kwa watu kwanza wanamwona kama punguani alafu mwanaume kujipendekeza kwa mwanaume mwenzio kisa net kondom na kuunga mkono ushoga ni upumbavu
 
we sio mkenya kweli?suluhu ya hii ardhi yetu tunayoiita 'lulu' sio kuwapa hao makaburu na sio pia kuiweka iwe chini ya EAC, ila ni kuwatumia wana taaluma wetu vyema waweze kutumia hiyo 'lulu' kukuza uchumi. Kwa suala la muungano kwakweli naona tunanyanyasika sana kama watanganyika, labda kuna siri nyuma ya pazia juu ya kunufaika kwa watanganyika kwenye muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…