Kwanini JF inachukiwa na serikali?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,499
Reaction score
18,170
  1. Kwa sababu ina toa maoni wasiopenda KUSIKIA watawala .
  2. Kuna uhuru wa kutoa maoni
  3. Kuna wa expose wafisadi na wabadhirifu.
  4. ..........ongezea
Nataka KUSIKIA kutoka kwa upande wako. Ni sababu gani zimepepekea serikali kuwa na chuki na hili jukwaa? Huenda sababu hizi zikasaidia pia kwa upande wa jamiiforum kunirekebisha.
 
4. Kwa sababu kuna anonymity, watu hawajulikani na serikali inashindwa namna ya kuwafikia pale wanapotoa maoni au hoja ambazo zinakinzana na mitizamo yao.
 
Vitasa vya uhakika
 
Serikali inakimbizwa mchakachaka hata kama imechoka kukimbia tizi hilo, inabaki kuchukia bure wakati inasaidiwa kuona udhaifu wake
 
Serikali inakimbizwa mchakachaka hata kama imechoka kukimbia tizi hilo, inabaki kuchukia bure wakati inasaidiwa kuona udhaifu wake
Shida ni kwamba walioko huko serikalini huwa wanaamini wanaongoza watu hawana akili ya kuhoji madudu yao... Hapo naona ndio chuki huzaliwa
 
Hizi nyundo ulizo mkung'uta cha kurembua angalia usije ukawa MC (Msema Chochote) wa Segerea mkuu!
 
4. Kwa sababu kuna anonymity, watu hawajulikani na serikali inashindwa namna ya kuwafikia pale wanapotoa maoni au hoja ambazo zinakinza na na mitizamo yao.
Na ibakie hivi hivi kuna umuhimu wake kwa namna fulani ambao wengine hawauelewi
 
chama cha mapinduzi kimezidi kuwa kinara kwa kulinda utu na uhai wa raia wake tizama leo maokozi ya ndugu zetu walipatwa na mkomo katika vita vya iran walivyo okolewa kimedani na kurudi nyumbani wakiwa na nyuso za furaha
 
4. Kwa sababu kuna anonymity, watu hawajulikani na serikali inashindwa namna ya kuwafikia pale wanapotoa maoni au hoja ambazo zinakinza na na mitizamo yao.
sema nini serikal yenyewe ni yakipuuzi watawala ni mafala mbona kumpata mtu wa jf ni simpo tu kwa sisi wenye akili kubwa aka magritasinkinsi nchi inayoongozwa na wapumbavu kama chama cha mabogazi watu wake hawajawah kuwa na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…