Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,011
- 14,350
Jibu lipo wazi, watoa taarifa wengi si waandishi wa habari sasa usitarajie upate habari kama vile kwenye regular media outlets ambazo wenyewe hutafuta habari.Taarifa nyingi ni scond hand. Tunazikopy kutoka vyanzo(vyombo vya habari) vingine
Je hiyo ndiyo sera ya hii forum. Naongelea habari/matukio na siyo makala
Usijipendekeze kujibu kama hujui chochote
Hii nimeiona sana humu sikuhizi. Yan mtu anascreenshot kikichoandika twita ama fb anakiweka kisha Uzi unaanza. Kiufupi jf imekosa mvuto wake.
Kwa sababu jf ya sasa haina first hand informants.Taarifa nyingi ni scond hand. Tunazikopy kutoka vyanzo(vyombo vya habari) vingine
Je hiyo ndiyo sera ya hii forum. Naongelea habari/matukio na siyo makala
Usijipendekeze kujibu kama hujui chochote
Taarifa nyingi ni scond hand. Tunazikopy kutoka vyanzo(vyombo vya habari) vingine
Je hiyo ndiyo sera ya hii forum. Naongelea habari/matukio na siyo makala
Usijipendekeze kujibu kama hujui chochote
Wakahamia wapi ?Baada ya wajinga kujaa JF werevu wakahama
First Hand ulizoleta wewe ziko wapi?Taarifa nyingi ni scond hand. Tunazikopy kutoka vyanzo(vyombo vya habari) vingine
Je hiyo ndiyo sera ya hii forum. Naongelea habari/matukio na siyo makala
Usijipendekeze kujibu kama hujui chochote