mi ambacho hapo bado napinga ni kwamba muda mwingine hata hujamvulia nguo na anafanya hivo...nikaanza kuhisi mwenyewe kichwani labda wanaume hawapendi kupendwaaa au???yani kama mwanamke akimtafuta sana yeye analoose interest!![/QUOT
Tatizo mnakuwa kama mnaboa kupigapiga cmu bila mpango!!! Ila co kweli hatupendi kupendwa mi binafsi napenda kupendwa!!!
dears,mi swali langu ni kwa wanaume na kwa kina dada ambao huwa wanapata shida kama ninayoipata mimi kwa sasa na mara kibao imeshanitokea,unakuta mwanaume akiwa anakutongoza anakuwa yupo hewani muda wote,anapiga,anatext msgs,yani kwa kifupi communication inakuwa ipo juu....anaweza akafanya hvo hata miaka miwili na zaidi....cha kushangaza ni pale tu ambapo mwanamke utaamua kurespond kujibu na kumpigia yaani kumtafuta yeye,pozi zinaanza...unaweza ukamuandikia meseji ndefuuuu ..atakujibu poa...au k!!!!mara anamtext hareply chochote ukimuuliza eti yupo busy.......ukimpigia hapatikan mara simu ilikuwa mbali.....mi kwakweli huwa napata confusion na sijui kama inanitokea mimi tu au ni kawaida...na kama na wengine huwa inawatokea mi napenda nipate jibu kwa wanaume je...huwa shida inakuwa nn au ni nini hiki???huwa inakuwaje hadi inakuwa hvo..ni kwa upendo tu mtusaidie dada zenu,ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii ,karibuni.

Habari yako dada Naureeen!Nataka nikwambie jambo ambalo litakusaidia,Mara nyingi sisi wanaume kabla hatujatongoza huwa tunatamani kwanza kulingana na muonekano wa nje wa mwanamke!na kwa kawaida mwanamke ameumbwa maringo kwanza, hakubali kirahisi hata siku moja! Wakati mwanaume anaendelea kumfuatilia demu anaongeza mapozi na kujifanya hataki mara aku-bomu hela, nitumie salio na vitu ka izo! Sasa siku anapokuja mwanaume kugundua mapungufu yake,historia yake anakuta mwanamke huyo ameshakuwa na mahusiano na zaidi ya wanaume 5 kama wewe mwenyewe ulivyosema! Ki-ukweli mwanamke anaweza kumtafuta mchawi kumbe tatizo ni la kwako mwenyewe! Mara nyingi wanaume tunakata tamaa baada ya kumfuatilia demu mda mrefu kumbe alikuwa anaku-ectia tu! Mf unamwambia naomba leo jioni tuonane ninamaongezi! Anakujibu usiku huwa sitoki! Wakati huo huo ww umeshagundua kuwa anaweza kutoka vizuri tu na pengine yeye mwenyewe anajichanganya jambo kumbe alivyokwambia mwanzo sivyo! Jaribuni kujichunguza ninyi wenyewe kabla hamjatupa lawama! wewe mwenyewe hebu fikiria umeachana na wanaume watano af wote wapo hivyo hivyo, hujiulizi? Wewe ndo unamatatizo unapaswa kubadilika dada! NB:hayo ni mawazo yangu you can have your own!
mi ambacho hapo bado napinga ni kwamba muda mwingine hata hujamvulia nguo na anafanya hivo...nikaanza kuhisi mwenyewe kichwani labda wanaume hawapendi kupendwaaa au???yani kama mwanamke akimtafuta sana yeye analoose interest!![/QUOT
Tatizo mnakuwa kama mnaboa kupigapiga cmu bila mpango!!! Ila co kweli hatupendi kupendwa mi binafsi napenda kupendwa!!!
ok thanks....umezidi kunisaidia
Nimesha kula mzigo nianze kujiweka kwako tena ya nini, hapo majeshi yamehamishiwa kiwanja kingine.
Mm ikitokea nikafanya hvyo ni kwa:
1. Sababu ya aina ya mapenzi anayonionyesha, hayatoshi kunifanya nijitoe kiasi hicho
2. Usumbufu alionipa hauendani na alicho nacho moyoni (nilichokikuta)
3. Makucha aliyokuwa ameyaficha
4. Nk
Lkn nakua nampenda, ndio ila hanifanyi nikafikia hatua ya kufanya uyasemayo.
Mwanamme wa kweli na anaekupenda kweli atapenda sms zako hata mukiwa pamoja miaka 20.
Na msg zako wakati wote atazisoma kwa makini na kukujibu vizuri.
Huyo ni playboy,
Pole mdada,si kweli kwamba wanaume wote hawapendi,wapo wanaopenda,ingawa si rahisi kujua yupi anapenda na yupi anatamaa.kama akikupata akiwa na tamaa siku akimpata mwingine ujue wewe ndo basi lakin hawez kukutamkia kuwa amekuacha ila viashiria ndo kama hivyo mawsilino kupungua na si lazima uwe umeshamvulia nguo,wakti mwingine anakuwa nawewe kwakuwa tu hana mwingine mmbadala.ch msingi usioneshe kama unapend sna mana tunatabia ya kuvimba kichwa.akikupotezea na wewe unapotezea usiache mtu aharibu maisha yako kirahisi iko siku utampata anayekupenda kwa dhat ni suala la wkati tu dada.hii nikitu ambayo mimi pia nimekuwa nikifanya huko nyuma lakini sasa nmetulia na nmeridhika na mpenzi wangu wa sasa ingawa mwanzo wamelia wengi,inachukua muda lakini inawezekana.
mi ambacho hapo bado napinga ni kwamba muda mwingine hata hujamvulia nguo na anafanya hivo...nikaanza kuhisi mwenyewe kichwani labda wanaume hawapendi kupendwaaa au???yani kama mwanamke akimtafuta sana yeye analoose interest!!
dears,mi swali langu ni kwa wanaume na kwa kina dada ambao huwa wanapata shida kama ninayoipata mimi kwa sasa na mara kibao imeshanitokea,unakuta mwanaume akiwa anakutongoza anakuwa yupo hewani muda wote,anapiga,anatext msgs,yani kwa kifupi communication inakuwa ipo juu....anaweza akafanya hvo hata miaka miwili na zaidi....cha kushangaza ni pale tu ambapo mwanamke utaamua kurespond kujibu na kumpigia yaani kumtafuta yeye,pozi zinaanza...unaweza ukamuandikia meseji ndefuuuu ..atakujibu poa...au k!!!!mara anamtext hareply chochote ukimuuliza eti yupo busy.......ukimpigia hapatikan mara simu ilikuwa mbali.....mi kwakweli huwa napata confusion na sijui kama inanitokea mimi tu au ni kawaida...na kama na wengine huwa inawatokea mi napenda nipate jibu kwa wanaume je...huwa shida inakuwa nn au ni nini hiki???huwa inakuwaje hadi inakuwa hvo..ni kwa upendo tu mtusaidie dada zenu,ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii ,karibuni.
kama unakazi au unasoma assume mpenzi wako ni kazi au masomo yako ukifanya hivyo baadae utampata atakae penda mawasiliano kama ww wanaume wa siku hizi mizinguo tu so usiwaze sana.mi sidhani kama nnakuwa nimechokwa,kwa sababu mwingine hata kuonana unakuwa hujawahi kuonana nae....anakuwa anakutafuta sana pindi tu utakapo anza na ww kumtafuta anaaanza kama kukupush hvi na ukianza na we kumpush anajirudi..sasa mi nachanganyikiwa.
Tatizo ninyi huwa mnaringa na kunata sana wakati tunapowatongoza. Huwa mnakuwa mnampenda mwanaume lakini mkitongozwa mnaanza kutunyanyasa kwa kuringa kurefuuu! Sasa cha ajabu mwishowe mnakubali. Hapo ndipo nasi tuanaanza kupumzika!
kama unakazi au unasoma assume mpenzi wako ni kazi au masomo yako ukifanya hivyo baadae utampata atakae penda mawasiliano kama ww wanaume wa siku hizi mizinguo tu so usiwaze sana.