kwanini jamani wanaume mnafanya hivi???



kweli kabsaa...mazoea yana tabu ila ntajitahidi kuyashinda
 


its true....ni mtu yeyote hapendi kusumbuliwa hasa akiwa busy na kazi..ila sometimes unaweza kumpigia hujui kama yupo busy na anakaa kimya tu sasa inakuwa ngumu kama ku define huyu mtu amedharau msg au anafikiriaje....ntapunguza mawasiliano japo huwa napata shida sana !!
 

Mwanamme wa kweli na anaekupenda kweli atapenda sms zako hata mukiwa pamoja miaka 20.

Na msg zako wakati wote atazisoma kwa makini na kukujibu vizuri.

Huyo ni playboy,
 
Pole mdada,si kweli kwamba wanaume wote hawapendi,wapo wanaopenda,ingawa si rahisi kujua yupi anapenda na yupi anatamaa.kama akikupata akiwa na tamaa siku akimpata mwingine ujue wewe ndo basi lakin hawez kukutamkia kuwa amekuacha ila viashiria ndo kama hivyo mawsilino kupungua na si lazima uwe umeshamvulia nguo,wakti mwingine anakuwa nawewe kwakuwa tu hana mwingine mmbadala.ch msingi usioneshe kama unapend sna mana tunatabia ya kuvimba kichwa.akikupotezea na wewe unapotezea usiache mtu aharibu maisha yako kirahisi iko siku utampata anayekupenda kwa dhat ni suala la wkati tu dada.hii nikitu ambayo mimi pia nimekuwa nikifanya huko nyuma lakini sasa nmetulia na nmeridhika na mpenzi wangu wa sasa ingawa mwanzo wamelia wengi,inachukua muda lakini inawezekana.
 
ni wengi zaidi ya wa 5,na wengine hata sijawavulia nguo kwani nikishaona hiyo drama inaanza huwa nam drop automatically asinipe headache sasa nisije nikawa nafanya hivi mwisho wa siku nikose hata mume wa kunioa ukute ndo tabia iliyopo mi sijui

nimependa strategy yako, hakikia itakusaidia kupata the right person
 
After two Years ndio una-respond unategemea what?? Lazima akupe same BSs kwa kiasi kile kile ulichompa.

Dada zangu acheni "Unafki-Mapenzi", unatongozwa miezi minne wakati jibu ulikuwa nalo the second day. MnasemA mna-play hard to get, wakati ni Cheap-To-See unategemea nini?? Hiyo ni old skul code madam


Long Calls nazo at times zinaboa. Text juu ya Text baada ya Text zinatia hasira, give a nicca a break apumue atakutafuta.


Now wewe inakutokea kila mara sababu umeitaja hapo "Playing Hard To Get". Jirekebishe
 
Long Calls nazo at times zinaboa. Text juu ya Text baada ya Text zinatia hasira, give a nicca a break apumue atakutafuta.

yaani hapa ndio tunapokoseaga sana

mara "uko wapi" "uko na nani" "unafanyaje"

kama yuko na mwanamke mwingine atakwambia,
they just dont know the rules of this game
 
Mwanaume hawapendi long text, hata zile 30mins call, is just boring. Zipunguze, jifanye hata wewe pia huna muda mrefu wa kulongi nae. Make the chase.....usimgande bana...atakutafuta tu!

Umemaliza sipend chatng chatng zisizo za maana mfano
Ke:baby umekula
Me:no nna kaz ntakula baadaye
Ke:No baby kale sasa hiv utaumwa ujue
Sasa mtu kama huyu utamjibu nin?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tatizo mionekano yenu haiendani kabisa na utendaji wenu, unamwona binti mwonekano mzuri lakini on bed totally zero alafu ushatumia muda mwingi pamoja na fedha kumpata lakini outcome inakuwa zero,sasa nijibu sms za nini.
 
mi sidhani kama nnakuwa nimechokwa,kwa sababu mwingine hata kuonana unakuwa hujawahi kuonana nae....anakuwa anakutafuta sana pindi tu utakapo anza na ww kumtafuta anaaanza kama kukupush hvi na ukianza na we kumpush anajirudi..sasa mi nachanganyikiwa.

Human is SELFISH in nature!!
 
Mada nzuri,unakuta mtu anafanya kazi then binti kuanzia asubuhi anakusms mpaka muda wa kutoka ofisini na anataka sms zote ujibu usipojibu hata moja ugomvi unazuka,hapo bado simu haujapigiwa sometimes inakuwa inakera but ni vema kuyamaliza wenyewe,mjibu sms zake zote,call zake zote pokea hata kama upo chooni,halafu akiomba ela ya nywele mwambie haujalipwa coz ulitumia muda wote kuchat kazini

 
hahaha sasa mtu kakwambia yuko busy unakataa sijui unataka nini tena? alaf huo mchezo wa kuandika massage kama gazeti mara nyingi ni zile za kukopi na mabinti wanapenda huo mchezo si wanawake. na huo mchezo wa kuandika vifupi wanao mabinti tena huo unaitwa uandishi wa kifacebook, kwangu mimi huwa sijibu massage za namna hiyo maana zina kera sana na nikiamua labda ni kuulize hujui kuandika? sasa mtu anaandika k badala ya ok, mara c badala ya si na hii maranyingi ni tabia ya mabinti kuliko wavulana.
 
Kiukweri ukiona hivyi ujue lazma kunamwanamkw ambae kahamishia hzo huduma na ndo maana kwako zimepungu vngnevyo utazixperuence mapema kwa mtu ambaye kwer yupo busy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…