Mara nyingine vibomu vikizidi, mawasiliano hupungua.dears,mi swali langu ni kwa wanaume na kwa kina dada ambao huwa wanapata shida kama ninayoipata mimi kwa sasa na mara kibao imeshanitokea,unakuta mwanaume akiwa anakutongoza anakuwa yupo hewani muda wote,anapiga,anatext msgs,yani kwa kifupi communication inakuwa ipo juu....anaweza akafanya hvo hata miaka miwili na zaidi....cha kushangaza ni pale tu ambapo mwanamke utaamua kurespond kujibu na kumpigia yaani kumtafuta yeye,pozi zinaanza...unaweza ukamuandikia meseji ndefuuuu ..atakujibu poa...au k!!!!mara anamtext hareply chochote ukimuuliza eti yupo busy.......ukimpigia hapatikan mara simu ilikuwa mbali.....mi kwakweli huwa napata confusion na sijui kama inanitokea mimi tu au ni kawaida...na kama na wengine huwa inawatokea mi napenda nipate jibu kwa wanaume je...huwa shida inakuwa nn au ni nini hiki???huwa inakuwaje hadi inakuwa hvo..ni kwa upendo tu mtusaidie dada zenu,ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii ,karibuni.
changamoto zina miguu leo kwangu kesho kwako best
Saa inatembea kama ina betri mpya so mishe nazo inabidi kukimbizana nazo unamtafuta bibie kwa chaguo lako na mnakubaliana baada ya hapo anataka muendelee kama zamani,plastic life hii!!!
Hivi ukisha change hela bureau huwa unarudi tena au ndo unaenda kutumia fedha uliyohitaji!!!!!
Ukitaka muongee na mwanaume na asikuchoke kuwa industrious kwa mfano una kiwanja unataka akusaidie masuala ya ramani na kibali cha ujenzi hapo utampata all the times(kama kweli ni mwanaume lakini maana kuna old boys under our very same label ya MWANAUME)
Unanipigia simu kuniambia kuna mzigo mpya kwenye boutique na yule mzaire wa nywele karudi so huendi kwenye kucha na fundi wa nguo kakuboa bora ungevaa derah simple halafu huko harusini mi colour combo imetawala na kile kipindi cha wanawake na maendeleo leo utakimiss,unaniuliza niko wapi na nani nimevaaje ma ntarudi home saa ngapi kabla sijajibu unanieleza kesho unapenda nivae ile tie ulonoletea.,aaaaaaaargh yaaaaaani kama redio bovu
Hapo ndio jibu huwa.; Ok
Mara nyingine vibomu vikizidi, mawasiliano hupungua.
changamoto za kunijibu ok!!!
au sijui changamoto unazoziongelea wewe!!!!!!
I used to live that kind of life years sometimes
but for now Hell NO!!!!!!!!
Sometimes we as women make ourselves too available
and become needy,so dont complicate things my dia!!!!!!!!!
its funny and well advised.thanx my dear nashukuru kwa ushauri.ni kuwasiliana kiutu uzima sio kitoto yan kishule shule
mi sidhani kama nnakuwa nimechokwa,kwa sababu mwingine hata kuonana unakuwa hujawahi kuonana nae....anakuwa anakutafuta sana pindi tu utakapo anza na ww kumtafuta anaaanza kama kukupush hvi na ukianza na we kumpush anajirudi..sasa mi nachanganyikiwa.
simple my dear, akiwa busy na wewe kuwa busy, dont call him, dont text him, halafu punguza story nyingi kwenye simu,
piga ukiwa na sababu ya kupiga, sio kwa sababu huna cha kufanya ndo umpigie
in conclusion nnaweza ku conclude hv.......nisisumbuke kumtafuta mwanaume nisubiri hadi nitakapotafutwa ....si ndio hvo na hata akinitafuta mimi ni kumjibu tu atakachoniuliza na si vinginevyo!!!!
dears,mi swali langu ni kwa wanaume na kwa kina dada ambao huwa wanapata shida kama ninayoipata mimi kwa sasa na mara kibao imeshanitokea,unakuta mwanaume akiwa anakutongoza anakuwa yupo hewani muda wote,anapiga,anatext msgs,yani kwa kifupi communication inakuwa ipo juu....anaweza akafanya hvo hata miaka miwili na zaidi....cha kushangaza ni pale tu ambapo mwanamke utaamua kurespond kujibu na kumpigia yaani kumtafuta yeye,pozi zinaanza...unaweza ukamuandikia meseji ndefuuuu ..atakujibu poa...au k!!!!mara anamtext hareply chochote ukimuuliza eti yupo busy.......ukimpigia hapatikan mara simu ilikuwa mbali.....mi kwakweli huwa napata confusion na sijui kama inanitokea mimi tu au ni kawaida...na kama na wengine huwa inawatokea mi napenda nipate jibu kwa wanaume je...huwa shida inakuwa nn au ni nini hiki???huwa inakuwaje hadi inakuwa hvo..ni kwa upendo tu mtusaidie dada zenu,ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii ,karibuni.
Utajikondesha bure bibie,,,, kuwa kiuhalisia zaidi,,, kama raha yako ni kumtafuta,,, enedelea maana ndivyo ulivyo, ila kama unaekti,,, kumbuka movie zote zinamwisho....usibinafsishe nafsi yako.....
sidhani kwa sababu kuna mwingine anaanza ku push hata hamjakutana kimwili na ukianza nawe kumpotezea anarudi!!!
i like your advice.....ni kweli nadhani hilo nalo ni tatizo langu ni mtu ambae ninapenda nikiwa na mtu concentration yake iwe kwangu na ninakuwa najisikia vizuri zaidi nikimsikia mara kwa mara ...kumbe nakuwa nakosea..nitajitahidi kubadilika kwakweli mbona mmenifaa sana siku ya leo kweli toa tatizo usaidiwe.
kama hilo ndo linalokusibu punguza speed ya mawasiliano halafu uone kama hajarespond kwa kuwa anakutafuta mara kwa mara. Hata kama unampenda sana jaribu kuzuia kihere here chako cha kuwa wa kwanza kumtafuta. Kasumba ya wanaume ni kutafuta wanawake na kuwatongoza + kuwabembeleza sasa akiona inakua tofauti anaanza kuwa na wsws kulikoni. Dawa piga pini na weka pozi atakuja mwenyewe.
Ni utamaduni wa Afrika mama, au we upo Ulaya?
Anza na hili halafu uje na majibu tukusaidie zaidi.