BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,474
- 21,471
Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.
Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika.
Huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu anatumia iPhone. Lazima kuna fyuzi haiko sawa.
Mwanzoni nilijua iPhone ni simu ya hadhi na ya kisomi lakini nilivyoona aina ya watu wanaozimiliki kwa pupa na kwa kuzivamia, nikaona hapa tatizo liko.
Huwezi kukuta kahaba hana iPhone, au housegirl..... sijui ni yale maduara matatu nyuma ndo yanawavuruga, sasa ni mwendo wa kulibeba simu juu juu na kulidolishia huku anakukonyeza.
Mimi huwa nikitaka kununua kitu naangalia kwanza aina ya watu wanaokitumia, nikikuta kundi kubwa la watu wa hovyo hovyo ndo wanakitumia naachana nacho mara moja chap kwa haraka.
Simu zimekaa kienyeji mno, hazina hadhi kabisa. Kila ukikutana na lishangazi sugu lazima liwe linamiliki iPhone.
Hata masekretari wengi wanayapenda sana haya maduara matatu.
Hivi kati ya android na ios ipi inatumiwa kwa wingi na watu wa hovyo hovyo?? Sitetei iphone ila hii hoja yako imekaa ki mkakati sanaMimi huwa nikitaka kununua kitu naangalia kwanza aina ya watu wanaokitumia, nikikuta kundi kubwa la watu wa hovyo hovyo ndo wanakitumia naachana nacho mara moja chap kwa haraka.
Tupo pamoja situmii zaidi ya huawei na pixel.Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.
Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika.
Huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu anatumia iPhone. Lazima kuna fyuzi haiko sawa.
Mwanzoni nilijua iPhone ni simu ya hadhi na ya kisomi lakini nilivyoona aina ya watu wanaozimiliki kwa pupa na kwa kuzivamia, nikaona hapa tatizo liko.
Huwezi kukuta kahaba hana iPhone, au housegirl..... sijui ni yale maduara matatu nyuma ndo yanawavuruga, sasa ni mwendo wa kulibeba simu juu juu na kulidolishia huku anakukonyeza.
Mimi huwa nikitaka kununua kitu naangalia kwanza aina ya watu wanaokitumia, nikikuta kundi kubwa la watu wa hovyo hovyo ndo wanakitumia naachana nacho mara moja chap kwa haraka.
Simu zimekaa kienyeji mno, hazina hadhi kabisa. Kila ukikutana na lishangazi sugu lazima liwe linamiliki iPhone.
Hata masekretari wengi wanayapenda sana haya maduara matatu.
Hebu ni surprise hata na moja basi tajiriuna chuki binafsi na iphone, hizi ni simu kama simu zingineโ๐พโ๐พ
KWA SABABU NI SIMU ZA MASHOGA ...UKIWA NAYO HATA KAMA MWANAUME UNATAKIWA KUTEMBEA HUKU UMEBINUA VITAKO.Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.
Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika.
Huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu anatumia iPhone. Lazima kuna fyuzi haiko sawa.
Mwanzoni nilijua iPhone ni simu ya hadhi na ya kisomi lakini nilivyoona aina ya watu wanaozimiliki kwa pupa na kwa kuzivamia, nikaona hapa tatizo liko.
Huwezi kukuta kahaba hana iPhone, au housegirl..... sijui ni yale maduara matatu nyuma ndo yanawavuruga, sasa ni mwendo wa kulibeba simu juu juu na kulidolishia huku anakukonyeza.
Mimi huwa nikitaka kununua kitu naangalia kwanza aina ya watu wanaokitumia, nikikuta kundi kubwa la watu wa hovyo hovyo ndo wanakitumia naachana nacho mara moja chap kwa haraka.
Simu zimekaa kienyeji mno, hazina hadhi kabisa. Kila ukikutana na lishangazi sugu lazima liwe linamiliki iPhone.
Hata masekretari wengi wanayapenda sana haya maduara matatu.
Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.
Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika.
Huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu anatumia iPhone. Lazima kuna fyuzi haiko sawa.
Mwanzoni nilijua iPhone ni simu ya hadhi na ya kisomi lakini nilivyoona aina ya watu wanaozimiliki kwa pupa na kwa kuzivamia, nikaona hapa tatizo liko.
Huwezi kukuta kahaba hana iPhone, au housegirl..... sijui ni yale maduara matatu nyuma ndo yanawavuruga, sasa ni mwendo wa kulibeba simu juu juu na kulidolishia huku anakukonyeza.
Mimi huwa nikitaka kununua kitu naangalia kwanza aina ya watu wanaokitumia, nikikuta kundi kubwa la watu wa hovyo hovyo ndo wanakitumia naachana nacho mara moja chap kwa haraka.
Simu zimekaa kienyeji mno, hazina hadhi kabisa. Kila ukikutana na lishangazi sugu lazima liwe linamiliki iPhone.
Hata masekretari wengi wanayapenda sana haya maduara matatu.
Anapendelea pagers...Wewe unapendelea ipi mkuu
Simu pendwa za malaya na machoko wenyewe wanasema shariti ukiwa nayo utembee umebinua vitako ....hizo simu zina wenyewe .una chuki binafsi na iphone, hizi ni simu kama simu zingineโ๐พโ๐พ
Hiyo % wote washamba?Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.
Hizi simu zimekaa kimkakati sana, ni kama ziko kwa ajili ya "kuwasulubu" watu wa kundi fulani tu kutokana na ushamba unaombatana nazo mfano mikogo ya kujichetua ukiwa umeishika, kurukia kila toleo linalotoka nakadhalika.
Huwezi kukuta mtu mwenye akili timamu anatumia iPhone. Lazima kuna fyuzi haiko sawa.
Mwanzoni nilijua iPhone ni simu ya hadhi na ya kisomi lakini nilivyoona aina ya watu wanaozimiliki kwa pupa na kwa kuzivamia, nikaonahapa tatizo liko.
Huwezi kukuta kahaba hana iPhone, au housegirl..... sijui ni yale maduara matatu nyuma ndo yanawavuruga, sasa ni mwendo wa kulibeba simu juu juu na kulidolishia huku anakukonyeza.
Mimi huwa nikitaka kununua kitu naangalia kwanza aina ya watu wanaokitumia, nikikuta kundi kubwa la watu wa hovyo hovyo ndo wanakitumia naachana nacho mara moja chap kwa haraka.
Simu zimekaa kienyeji mno, hazina hadhi kabisa. Kila ukikutana na lishangazi sugu lazima liwe linamiliki iPhone.
Hata masekretari wengi wanayapenda sana haya maduara matatu.
Okay ๐๐ฝAnapendelea pagers...
Mkuu, kwa akili za hawa watoto wa kike yupo radhi hata atoe "ndogo" ili mradi nayeye aishike iphone 15 au 16!iPhone latests wanatumia wenye hadhi, hayo makundi ya hovyo unayosema wanatumia matoleo ya nyuma, house girls wangapi watamudu bei za iphone 14,15 au 16?
All in all iPhone ni simu nzuri kwa kila angle..
Na infinix lako unajiona mjanja ๐๐๐Sijui kwanini napata haya mawazo kila nikiona iPhone.