harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,918
Wewe unaejua kuandika ipo siku utamtafuta huyu jamaa akupe kazi ya kuwakatia wateja wake risiti.rudi shule tu sio kwa kuandika hv
Wow what an amazing chance to be homeschooled by you😛nitaelewa zaidii, vipi lakini waendeleaje rafiki?Soulimeti umenitupa. Wewe hata uache shule sawa tu. You will be homeschooled...by me [emoji7][emoji7][emoji7]
Mbona wanadamu tunakua na wakati mgumu sana mtu akiongea maneno ambayo hayatufurahishi?"....upumbavu wa kuchonga fanicha.""
Amen.
Kwaherii CEO mwenye uwerevu.
#YNWA
Dah kitambo cn niaj lknMkuu London I tulikua wote hapo kwa Mr mng'ong'o
Mimi sijambo aise. I hope na wewe unaendelea vyema. Tumshukuru Mungu frendi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wow what an amazing chance to be homeschooled by you[emoji14]nitaelewa zaidii, vipi lakini waendeleaje rafiki?
Asante Sana lafikiMimi sijambo aise. I hope na wewe unaendelea vyema. Tumshukuru Mungu frendi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ukipata nafasi jiendeleze masomo ya jioniAsante Sana lafiki
But yule mwenye uwezekano wa kumiliki ela ndefu ni yule ambae anaingia risk katika kuwekeza.Ukiwa umeajiriwa huwezi kupanga jambo likatimia sababu umelimitiwa na aliekuajiri na muda ni mchache Umri unaenda.Kila mtu ana riziki yake kwa mapito yake, si kwamba sababu fulani kafanikiwa kwa kufanya hivi na wewe utafanikiwa, au sababu fulani kashindwa basi na wewe utashindwa.
Hata mm ndugu yangu alikuwa ananikatisha tamaa sana kuhusu kusoma kwa story kama zako akitaka tufanye biashara. Nilimpuuza nikasoma, nikaajiriwa, kwa upande wake biashara iliyumba na hakuweza kusimama tena kama mwanzo. Sasa yeye ndo anaomba msaada kwa ajili ya ada za watoto wake. Maisha ni fumbo ajuaye ni Mwenyezi Mungu tu.
Inatakiwa sasa Elimu kuanzia Chini ichanganue hili ili watoto wasiache shule kwa sababu ya kutafuta ela kwa Sababu ela ipo lakini tatizo linakua pia ni hilo hilo ela.Na hyo ndio dhana iliyopo kwa vijana wengi wa Tz na hata wazazi wengi yn hili tatizo la ajira kwa ss imekuwa ndiyo excuse ya watu kuchukia shule imefika kipindi msomi anaonekana ni adui wa maendeleo nchini wakati sio kweli.
Hyo kujiajiri imekuwa ss ndo wimbo asbh mchn jioni wkt ilipaswa watu wahimizwe waende shule washauriwe wasomee nn au kulingana na upendeleo wake asome nn zen suala la kujiajiri lifuate cz pesa ipo tu hata kama hujaenda shule but tunajaribu kuchanganya ajira na shule kitu ambacho c sawa na tunakwenda kutengeneza taifa la matahira wengi mtaani.
Watoto waachwe waende shule wapate kujitambua hizi changamoto za ajira zitajitatua automatically.
Luga ni kiswahili gani na wewe?Kasome luga ya Kiswahil
Amina, naendelea poa kabisaMimi sijambo aise. I hope na wewe unaendelea vyema. Tumshukuru Mungu frendi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
heeKuwa inspired? Mimi huyu?
Una utani wewe.
Huo alioandika ni utopolo na ni ujinga.
Ujinga per se.