Kwanini Ikulu haijawaalika watu hawa muhimu kwenye ripoti za madini?

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
Nadhani Ikulu inakoseaga sana kutowaalika maraisi, mawaziri wakuu wastaafu, wanasheria wakuu wastaafu na hata mawaziri walioshika wizara husika wastaafu kunapokuwa na tukio la kitaifa na ambalo ni historic kama la makinikia.

Wafuatao wangepaswa sana kualikwa na kuhudhuria matukio haya:-

Ben Mkapa.
Jakaya Kikwete.
Fredrick Sumaye.
Edward Lowassa.
Mizengo Pinda.
Andrew Chenge.
Manyika.
Fredrick Werema.
Masaju.
Karamagi.
Wiliamu Ngeleja.
Sospiter Muhongo
 
Watu muhimu ni wananchi ambao ndo wahusika-na hao wameshapewa mwaliko kwa press release ya Ikulu. Hao wengine si ni wananchi kama sisi? Au wana daraja tofauti la uraia?
 
Wezi watupu. Ndo maana wanajifanya wako busy na kudai mikutano ya kisiasa huku wanapotezea.

Wanawatumia akina Lissu na CHADEMA yote kupotezea.
Nadhani Ikulu inakoseaga sana kutowaalika maraisi, mawaziri wakuu wastaafu, wanasheria wakuu wastaafu na hata mawaziri walioshika wizara husika wastaafu kunapokuwa na tukio la kitaifa na ambalo ni historic kama la makinikia.

Wafuatao wangepaswa sana kualikwa na kuhudhuria matukio haya:-

Ben Mkapa.
Jakaya Kikwete.
Fredrick Sumaye.
Edward Lowassa.
Mizengo Pinda.
Andrew Chenge.
Manyika.
Fredrick Werema.
Masaju.
Karamagi.
Wiliamu Ngeleja.
Sospiter Muhongo
 
Richmond ni ya kikwete huyo Lowasa kafanya ufisadi gani? Mbona waliopiga pesa za Escrow, ununuzi wa ndege kwa cash, ujenzi wa reli kwenda Airport, pesa za NIDA, chenji ya rada, chenji bunge la katiba, IPTL, NSSF na kwingineko kwingi wanaalikwa huko ikulu.
Huwa najiuliza sana hivi inakuwaje Kikwete huwa hahusiswi na IPTL au Richmond?
 
tena ni marufuku
zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kipindi mkulu akiwa waziri kwa kuwalipa makandarasi hewa ziliibwa na Lowasa? Kipindi cha kampeni January alipiga bilion 1.7 mpaka wachina wakahaha kuokoa jahazi alikula na Lowasa? Kivuko feki kilichonunuliwa kwa bilion 8 walikula na Lowasa? Mabehewa chakavu alinunua Lowasa? Kiwanda hewa kule Lindi alikula Lowasa? Acheni kumpakazia Lowasa wakati mafisadi mnao humo humo CCM lakini kwa kuwa nyinyi ni house boy zao mmeamua kujitoa fahamu na kumwandama Lowasa bila kutafakari kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom