Kwanini huwa havigombani?

Kwanini huwa havigombani?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,171
Reaction score
1,733
Za masiku wana jamii?

HIli swali huwa najiluiza sana muda mwingi na jibu muafaka huwa sipati. Unakuta ndani ya mahusiano hasa ya ndoa kuna siku mnakwaruzana na mnakuwa kila mtu kamnunia mwenzake.

Cha kushangaza huwa dushelele na papuchi huwa havinuniani, vinaweza vikahudumiana vizuri na baada ya hapo mnuniano waweza endelea, ushajiuliza ni kwa nini?

Siku njema.
 
Duh umetisha, hata hivo hivyo haviwezi kununiana na km kweli umenuna seriously huwezi hata kutamani papuchi kwa ck husika
 
Hujui kununa wewe.
Unatakiwa kufundishwa kununa.
Unanuna hadi kumuangalia mwenzako inakuwa shida.
 
Bavaria unanuna hivyo na bado mnalala kitanda kimoja?
 
kivipi peterchoka?
 
hili swali laweza jibiwa na wale tu ambao wako ndoani.wengine hamjafikia hii level lazima muwe na majibu mepesi na ya karaha.sio kosa lenu.ingieni kwenye ngoma hiyo ndio mtajua mbivu na mbichi
 
Hyo nayo inayegemea .... kama vinaendelea kuwasiliana ina maana mahusiano/urafiki upo.
Wengine hapa tuna zaidi ya mwaka kitanda kimoja lkn hata hakuna mwenye hamu na mwenzie. Jaribu kufikiria kwa karibu .... mwanaume gani anaweza kuishi na mke wake kama dada yake?
Mpka hapo ndoa hyo imekufa isipokuwa tunaish kikristu tu.
Tungekuwa waislam ... aah kwa raha zetu ... ndoa hakuna ila wa kristu dini na sheria zinatufunga.
 
Papuchi na dushe vina uhusiano gani na kununa
 
Hahahahahahahah akili za watu muda mwingine mpaka raa _____________- Toa kali nyingine humu hakuna kuvunja records
 
Asante papag!! Mzima tena saaana tu! Tatizo lake kageuza Mchepuko kuwa Njia Kuu.
Hzo ndo changamoto za ndoa au maisha.

ni kweli rechel na ndio maana nikasema wenye uwezo wa kujibu na kulielewa kwa undani swali langu ni wale tu walio ndoani.kheri RC nao wameamka kwenye talaka
 
Back
Top Bottom