Dada Pretty miaka 30 ni mingi ndugu yangu mtu asikudanganye na anekuambia kuolewa sio issue inamaana anataka uwe malaya au utembee na wanaume za watu? kutokana na maelezo yako Kama unavyodai majamaa zako wa nyuma wote bado hawajaoa mimi navyoona huo ni mkosi au nuksi shost kukutana na mijinaume ambayo sio mioaji mfululizo mhh! sasa fata ushauri naokwambia Kama nikuomba mungu omba mungu akuondolee nuksi ya kutokuolewa kwanza ikishatoka ndio uombe mungu akuchagulie mume, pili nina wasiwasi una jini mahaba lina kupeleka kwa wanaume wasiofaa ambao pia wao wana hayo majini shost piga vizuri Kama wewe ni mkristo kemea jini mahaba kwa kwenda mbele mama la sivyo unazeeka kumbuka kuna kuna kuzaa na watoto ni hazina maishani usijidanganye ukazaa bila kuolewa huko nikujidhalilisha yaani ukae miaka yote hiyo 30 halafu uje uzae bila kuolewa usikubali wanaume wapo kibao wanatafuta wanawake wa kuoa hawawaoni kwani una kasoro gani chakarika mwaka huu usiishe shost

wengine micharuko huko kuolewa watakusikia ktk kitchen parts tu!

cku hiz kuolewa cyo inshu tafuta m2 au ntafute mimi nikutie mimba ukishajifungua lea mtoto wako mwenyewe .....maisha yanaendelea

Ahsante kwa ushauri mpenzi.

Lakini kwa mtazamo wangu umalaya ni uamuzi tu wa mtu, haijalishi kama nimeolewa au sijaolewa.

Pili kuhusu nuksi au mkosi ina maana wote ambao hawajaolewa wana nuksi?mkosi?

Ndugu yangu labda ungeniambia kwanza jini mahaba ana alama zipi zaidi ya kunikosesha mume?

Sitaki kuamini kuwa nina jini kwa sababu maisha ninayoishi na mazingira yangu sijui majini yanakujaje labda unieleweshe.

Kwa hiyo niolewe kwa ajili ya kupata watoto?

nina furaha ya maisha, napata pesa kwa kujishughulisha mwenyewe, sina migogoro na watu na nina uhuru wa kufurahia maisha so hapa nuksi ipo kwenye kuolewa tu?

Na walioolewa hawapati watoto, wananyanyasika kwenye ndoa, wanaishi maisha ya dhiki, ndoa zao hazina furaha nao utasema wana nuksi?

Ni kweli wanaume wapo wengi wanaotafuta wa kuwaoa na wanawake wanaotafuta kuolewa pia wapo wengi!

Sitafuti kuolewa ili kuwafunga watu midomo.

Kama kutafuta nitakapotaka kutafuta na mie nitaweka Post hapa JF, na kwenye ile mitandao yooooooote ya kutafuta wapenzi.
Dada Pretty miaka 30 ni mingi ndugu yangu mtu asikudanganye na anekuambia kuolewa sio issue inamaana anataka uwe malaya au utembee na wanaume za watu? kutokana na maelezo yako Kama unavyodai majamaa zako wa nyuma wote bado hawajaoa mimi navyoona huo ni mkosi au nuksi shost kukutana na mijinaume ambayo sio mioaji mfululizo mhh! sasa fata ushauri naokwambia Kama nikuomba mungu omba mungu akuondolee nuksi ya kutokuolewa kwanza ikishatoka ndio uombe mungu akuchagulie mume, pili nina wasiwasi una jini mahaba lina kupeleka kwa wanaume wasiofaa ambao pia wao wana hayo majini shost piga vizuri Kama wewe ni mkristo kemea jini mahaba kwa kwenda mbele mama la sivyo unazeeka kumbuka kuna kuna kuzaa na watoto ni hazina maishani usijidanganye ukazaa bila kuolewa huko nikujidhalilisha yaani ukae miaka yote hiyo 30 halafu uje uzae bila kuolewa usikubali wanaume wapo kibao wanatafuta wanawake wa kuoa hawawaoni kwani una kasoro gani chakarika mwaka huu usiishe shost
Habari wanajamvi.
Kwa kweli hilo swali huwa linanisononesha sana.
Nina umri wa miaka 30, sijaolewa, sina mchumba wala mpenzi yapata mwaka na miezi kadhaa sasa.
Mdogo wangu anayenifuatia ana miaka 27 aliolewa akiwa na miaka 24 na ana watoto wawili sasa.
Familia yangu na jamii inayonizunguka hainielewi na mara nyingi nakutana na hilo swali
"Mbona wenzako wanaolewa wewe huolewi, au una tatizo?"
Kiukweli hua napata ugumu sana kujibu hilo swali kwa sababu sina cha kuwajibu.
Labda ningesema nina tatizo au kasoro lakini kati ya niliowahi kuwa nao kimahusiano hakuna alieoa hadi sasa japo wote walinizidi umri na kuna wawili walikua na watoto tayari na mpaka sasa hawajaoa.
Hivi kwa jamii yetu mwanamke kutoolewa ni kasoro?
Maana kuna rafiki yangu naye anapata usumbufu kama wangu kutoka kwa familia yake.
Vipi kama mwanaume ninayempata yeye hana wazo la kuoa nifanyeje?
Na wanaume huwa wanaulizwa na kuonekana wana matatizo kama wanawake?

Nimerudi.

Loly mpenzi,

1. miaka 30 ni mingi ukimaanisha nini?ni wapi imeandikwa mtu aolewe kabla hajafika 30 years?hapo naona umekosea kidogo

watu wanaolewa wakiwa hata na miaka 40 na kupitiliza, binafsi nadhani hakuna umri maalum ambao mwanamke anapaswa awe amekwisha olewa.

2. kuwa na majamaa ambao wao pia hawajaoa haimaanishi una nuksi...wao wana maisha yao na wewe una maisha yako..ni kama kufananisha kifo na usingizi.

3. kwa uelewa wangu,muanzapo mahusiano hamuanzi kwa kuambiana 'oo nitakuoa''au 'oo nioe'...hell no...kuoa kunakuja kama mmeridhiana,kama mnapatana,je mnaweza kuvumiliana and all that..mi sijaolewa so siwezi kuweka list ndefu hapa...kwahiyo yawezekana Da Pretty hao aliokutana nao huko nyuma (i) hawakuwa na nia ya kuoa na ndo mana mpaka leo hawajaoa (wapo wanaume wa hivyo na ninawafahamu,wao wanajiita senior bachelors)...au (ii) hawakuridhia mpaka kufikishana kuoana and vice versa its true

4. Imeandikwa kuwa 'Mume bora hupewa na Mungu'..kwa hiyo kumshirikisha Mungu kwenye maombi ni jambo la muhimu na busara pia, ingawaje sidhani kama majini sijui mahaba have nothing to do with ndoa

5. Kama usemavyo 'watoto ni hazina'..na hii kumbuka haijalishi kama umeolewa au haujaolewa,hazina ni hazina tu with or without marriage so hata akiamua kuzaa sasa hivi hatojidhalilisha kama ulivyosema (ingawaje jamii itaona amejidhalilisha)

6. Mbona wanawake wa kuoa wengi tuu,kwanza wanawake ni wengi kuliko wanaume iweje wanaume wasione wa kuoa.Mi naona hao wasioona ni kwamba hawako tayari kuoa na kujisingizia hawajaona hawana lolote

Angalizo

Yatupasa tuishi bila kujali jamii inasemaje,jamii inaonaje au jamii itakuchukulia vipi.

Da Pretty, miaka 30 sio mingi, usiharakishe kuolewa kama hauko tayari au kama hajatokea the right person to marry you just because jamii inakuonaje..Waache waulize,waseme, watajijua wenyewe,yao yanawashinda kwa nini wakuulize wewe? Kama ni mama zako,wakalishe kitako waambie bado hauko tayari au hujapata unaedhani anakufaa.kwani tatizo liko wapi hapo? at the end of the day wewe ndio utakayeishi na huyo mume,wacha upate anaefaa bwana hee!!take your time dada,chagua if u have to pembua upate unayemtaka..usiforce mambo kisa watu wanasemaje..wama maisha yao yanawasubiri kuishi ukute yameshawashinda..eboo..achana nao.

Nina umri wa miaka 30, sijaolewa, sina mchumba wala mpenzi yapata mwaka na miezi kadhaa sasa.

Labda ningesema nina tatizo au kasoro lakini kati ya niliowahi kuwa nao kimahusiano hakuna alieoa hadi sasa japo wote walinizidi umri na kuna wawili walikua na watoto tayari na mpaka sasa hawajaoa...

Hajanijibu PM yangu!Unaonaje ukimPM wewe ?
Nimerudi.
Loly mpenzi,
1. miaka 30 ni mingi ukimaanisha nini?ni wapi imeandikwa mtu aolewe kabla hajafika 30 years?hapo naona umekosea kidogo
watu wanaolewa wakiwa hata na miaka 40 na kupitiliza, binafsi nadhani hakuna umri maalum ambao mwanamke anapaswa awe amekwisha olewa.
2. kuwa na majamaa ambao wao pia hawajaoa haimaanishi una nuksi...wao wana maisha yao na wewe una maisha yako..ni kama kufananisha kifo na usingizi.
3. kwa uelewa wangu,muanzapo mahusiano hamuanzi kwa kuambiana 'oo nitakuoa''au 'oo nioe'...hell no...kuoa kunakuja kama mmeridhiana,kama mnapatana,je mnaweza kuvumiliana and all that..mi sijaolewa so siwezi kuweka list ndefu hapa...kwahiyo yawezekana Da Pretty hao aliokutana nao huko nyuma (i) hawakuwa na nia ya kuoa na ndo mana mpaka leo hawajaoa (wapo wanaume wa hivyo na ninawafahamu,wao wanajiita senior bachelors)...au (ii) hawakuridhia mpaka kufikishana kuoana and vice versa its true
4. Imeandikwa kuwa 'Mume bora hupewa na Mungu'..kwa hiyo kumshirikisha Mungu kwenye maombi ni jambo la muhimu na busara pia, ingawaje sidhani kama majini sijui mahaba have nothing to do with ndoa
5. Kama usemavyo 'watoto ni hazina'..na hii kumbuka haijalishi kama umeolewa au haujaolewa,hazina ni hazina tu with or without marriage so hata akiamua kuzaa sasa hivi hatojidhalilisha kama ulivyosema (ingawaje jamii itaona amejidhalilisha)
6. Mbona wanawake wa kuoa wengi tuu,kwanza wanawake ni wengi kuliko wanaume iweje wanaume wasione wa kuoa.Mi naona hao wasioona ni kwamba hawako tayari kuoa na kujisingizia hawajaona hawana lolote
Angalizo
Yatupasa tuishi bila kujali jamii inasemaje,jamii inaonaje au jamii itakuchukulia vipi.
Da Pretty, miaka 30 sio mingi, usiharakishe kuolewa kama hauko tayari au kama hajatokea the right person to marry you just because jamii inakuonaje..Waache waulize,waseme, watajijua wenyewe,yao yanawashinda kwa nini wakuulize wewe? Kama ni mama zako,wakalishe kitako waambie bado hauko tayari au hujapata unaedhani anakufaa.kwani tatizo liko wapi hapo? at the end of the day wewe ndio utakayeishi na huyo mume,wacha upate anaefaa bwana hee!!take your time dada,chagua if u have to pembua upate unayemtaka..usiforce mambo kisa watu wanasemaje..wama maisha yao yanawasubiri kuishi ukute yameshawashinda..eboo..achana nao.
Da Prety, kama unataka kuolewa, jiangalie kwenye maeneo haya:
1. Je, una vi nyodo nyodo visivyo na msingi?
2. Kampani yako unayo 'hang out' nayo ni ya aina gani? Masista duu? Mashangingi? Wasela?
3. Unavaaje? Skin tyt/ jeans 24/7? Miniskirt, pedo, boobs nje nje?
4. Lifestyle yako kwa ujumla? Uko ki 'matawi' sana? Mipete ya dhahabu, cheni kubwa, vikuku, hereni 4 kila sikio, bangili za gold nk?
5. Unapendelea kutembelea maeneo gani? Hoteli kubwa kubwa? Club za gharama?
6. Unapenda kujiremba kupita kiasi?
7. Hukumbuki mara ya mwisho kuonekana kanisani/mskitini?
8. Unapenda kuwa na relaionships na 'masharobaro'?
9. 'Uzungu' mwingi?
10. Nakadhalika?
Wanaume wa sku izi wajanja. Hawataki kuoa mtu mwenye unnecessary complications hata awe mzuri kiasi gani! Wanataka mtu presentable ambaye wanaweza kumtambulisha kwa marafiki, ndugu, wazazi n.k
Ukikuta una mojawapo kati ya kasoro hizo jirekebishe haraka. Hapo utajitoa kwenye kundi la 'mademu' na kuingia kwenye 'wife material'
Kuolewa ni heshima dada, japo si lazima but inakupa a deeper purpose in life. Good luck