Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,665
- 239,163
Wakuu,
Hili jambo ni lazima lijadiliwe kwa kina sana, hii si sawa.
Nilipokuwa Johanesburg nilihifadhi Rand na nilikuwa nabeba pia US Dollar , pamoja na kwamba tulilowa na mvua mara kwa mara lakini sikusikia hela zile zikinuka uvundo mkali kama haya madafu yetu.
Hii inatugharimu sana sisi wengine tunaobeba cash kwasababu ya malipo ya hapa na pale yanayohitaji hela tasilimu, gari nzuri na safi lakini inanuka uvundo utadhani upo soko la utumbo vingunguti.
Ni wapi tumekosea? Hebu wataalamu wa mambo ya fedha (hasa kwenye quality of money ) na wale wataalamu wa mambo ya harufu na uvundo njooni mtusaidie.