City Rider
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 402
- 1,218
I am just saying Mkuu, ni utamaduni tu.Huyo Mungu hana msaada wowote kwenye hili, hapo ndo watu weusi tunapokwama
Mim mwenyewe sometimes huwa nashangaa yaan.. UJINGA hauuwi ila chamoto utakiona [emoji28]Huyo Mungu hana msaada wowote kwenye hili, hapo ndo watu weusi tunapokwama
Kweli mzunguko hamna, watu na vibiashara vyao huku mtaani utawaonea huruma, kila siku wanafungua na zinakufa ndan ya muda mfupi.Tanzania tuna mzunguko mdogo sana wa hela. Na huo mzunguko mdogo pia mwingi inaisha kwenye kuagiza vitu nje kuliko kuzalisha bidhaa na huduma. Kiufupi sisi Tanzania tunaagiza sana kuliko kuuza nje. Lazima iwe ngumu. Yaani kila kitu tunaagiza sana[emoji23].
I agree with you, everything is imported mpaka bahasha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ni aibuTanzania tuna mzunguko mdogo sana wa hela. Na huo mzunguko mdogo pia mwingi inaisha kwenye kuagiza vitu nje kuliko kuzalisha bidhaa na huduma. Kiufupi sisi Tanzania tunaagiza sana kuliko kuuza nje. Lazima iwe ngumu. Yaani kila kitu tunaagiza sana[emoji23].
Sijui kama umeelewa vizuri thread, sio issue ya masikini na utajiri purchasing power ikipungua hata Bakhresa anaathirikaVita ya Ukraine Vs Russia plus mama ndio kwanza ana mwaka mmoja na miezi kadhaa tangia ashike usukani. All in all, wote hatuwezi kuwa na pesa nyingi kwa maana hata South Africa masikini wapo.
Kabisa 100%Naunga mkonyo hoja hii, nimekuwa nikideal na biashara ya fedha takribani huu ni mwaka wa 8 Sasa, ila hali ya Sasa ya mzunguko wa fedha hata wa ule vyuma vimekaza una nafuu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mzunguko hamna, watu na vibiashara vyao huku mtaani utawaonea huruma, kila siku wanafungua na zinakufa ndan ya muda mfupi.
Juzi nikawasikia et mtaa huu una laana [emoji3][emoji3]
Ebwanaeeeh hali ni ngumuNa huu ni mwanzo tu mkuu,tuendako ni kubaya zaidi..tujiandae hasa! Mbwa watalamba reli na watu watachemsha viatu vyao japo wapate supu!
Siku hizi hata wale wanaofanya umalaya wanalalamika wateja hamna,unadhani nyege zitatoka wapi? Kila mtu anachopata hakitoshi na familia...atafikiria kuhonga nje? (Japo wapo wachache walioshupaza shingo) kiujumla maisha ni magumu sana..
ππKweli mzunguko hamna, watu na vibiashara vyao huku mtaani utawaonea huruma, kila siku wanafungua na zinakufa ndan ya muda mfupi.
Juzi nikawasikia et mtaa huu una laana [emoji3][emoji3]
Bakhresa hata aathirike vp kamwe hawezi kuwa mlalahoi kama mimiSijui kama umeelewa vizuri thread, sio issue ya masikini na utajiri purchasing power ikipungua hata Bakhresa anaathirika
Kula mtori ,nyama utazikuta chiniKwa mara ya kwanza tangu 2017 inflation rate imefikia 4.8% and expected to reach 4.9% at the end of this year. Hii ina maana gani
1. Nguvu ya manunuzi imepungua sana kwahiyo hakuna mzunguko mkubwa wa pesa
2. Tsh itaendelea ku-depreciate against other currencies
3. Nguvu za kiume itakuwa ni changamoto sababu ya ugumu wa maisha kwa vijana[emoji3]
4. Magonjwa ya akili yataongezeka sababu ya challenge za mfuko na lindi la majukumu
5. Unemployment rate itaendelea kuwa kubwa
6. Bidhaa za vyakula, usafiri na vinywaji hazitakamatika
Mungu tuvushe salama
Picha ya kwanza ni dollar against Tsh since year 2000
Picha ya pili ni inflation rate this yearView attachment 2420326View attachment 2420327
Mungu kwenye mfumuko wa bei !!!!?Huyo Mungu hana msaada wowote kwenye hili, hapo ndo watu weusi tunapokwama
Trade imbalance ni tatizo kubwa sana , huwezi kuwa na taifa la wachuuzi na machinga na madalali bila kuwa na real productivity ya bidhaa kuuza nje ya nchi na kusatisfy soko la ndani ukadhani unajenga uchumi hata siku moja , miaka bilioni Tz itabaki hii huu ,hakuna kutoboa kwa mwendo huuTanzania tuna mzunguko mdogo sana wa hela. Na huo mzunguko mdogo pia mwingi inaisha kwenye kuagiza vitu nje kuliko kuzalisha bidhaa na huduma. Kiufupi sisi Tanzania tunaagiza sana kuliko kuuza nje. Lazima iwe ngumu. Yaani kila kitu tunaagiza sana[emoji23]. Sehemu iliyobakia ya mzunguko wa hela inaishia kwenye kodi na tozo. Ambazo wanalipwa wakandarasi toka nje wanaoagiza.
Tafuta data/taarifa ya trend ya uagizaji na uuzaji wa nje kwa miaka 5 mfululizo kisha angaliz bidhaa 20 zinazoagizwa na thamani yake na tunazo uza nje na kupata forex (fedha za nje) ndio utaelewa. [emoji23][emoji23]