Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,069
- 13,902
Nakuheshimu sana jamaa yangu lakini wakati mwingine umakuwa kama kibati cha uruguay....Swali #1.
Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani?
Swali #2.
Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza?
Nimeambiwa kuwa hapa JamiiForums ni Home of Great Thinkers ( Werevu ) leo GENTAMYCINE naamini Nitaelimishwa.
Najua kwa kuwa ushavuta utanitukana. Lakini poa tu. Namashaka na urimamu wako.