Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Jan 16, 2015 #2 hahahaha
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Jan 16, 2015 Thread starter #3 miss neddy said: hahahaha Click to expand... Kila mmoja anataka aonekane mdogo
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,257 Jan 16, 2015 #4 miss neddy said: hahahaha Click to expand... Mwanamke akiambiwa yy ni mkubwa sana huwa wanachukia, cjui kwanini!
miss neddy said: hahahaha Click to expand... Mwanamke akiambiwa yy ni mkubwa sana huwa wanachukia, cjui kwanini!
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Jan 16, 2015 Thread starter #5 BIGURUBE said: Mwanamke akiambiwa yy ni mkubwa sana huwa wanachukia, cjui kwanini! Click to expand... Wao wanataka wakifika 21 miaka ibakie hapo, isiongezeke tena
BIGURUBE said: Mwanamke akiambiwa yy ni mkubwa sana huwa wanachukia, cjui kwanini! Click to expand... Wao wanataka wakifika 21 miaka ibakie hapo, isiongezeke tena
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,257 Jan 16, 2015 #6 utafiti said: Wao wanataka wakifika 21 miaka ibakie hapo, isiongezeke tena Click to expand... Ukimuuliza ana miaka mingapi, atakujibu natimiza miaka 24 mwezi wa 10...mwakani ukimuuliza tena atakujibu hivyo hivyo!
utafiti said: Wao wanataka wakifika 21 miaka ibakie hapo, isiongezeke tena Click to expand... Ukimuuliza ana miaka mingapi, atakujibu natimiza miaka 24 mwezi wa 10...mwakani ukimuuliza tena atakujibu hivyo hivyo!
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Jan 16, 2015 Thread starter #7 BIGURUBE said: Ukimuuliza ana miaka mingapi, atakujibu natimiza miaka 24 mwezi wa 10...mwakani ukimuuliza tena atakujibu hivyo hivyo! Click to expand... Hahaha
BIGURUBE said: Ukimuuliza ana miaka mingapi, atakujibu natimiza miaka 24 mwezi wa 10...mwakani ukimuuliza tena atakujibu hivyo hivyo! Click to expand... Hahaha
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,146 Jan 16, 2015 #8 utafiti said: Hahaha Click to expand... Tena hao wote watakuwa hawajaolewa,, umri unasonga tu. Mtoa mada kama una mawasiliano na mmoja wao mlete nimuoe wajameni
utafiti said: Hahaha Click to expand... Tena hao wote watakuwa hawajaolewa,, umri unasonga tu. Mtoa mada kama una mawasiliano na mmoja wao mlete nimuoe wajameni
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Jan 16, 2015 Thread starter #9 Dragoon said: Tena hao wote watakuwa hawajaolewa,, umri unasonga tu. Mtoa mada kama una mawasiliano na mmoja wao mlete nimuoe wajameni Click to expand... Mkuu Dragoon subiri nione jibu la shemeji yangu hapa, eti Khantwe shem una miaka mingapi?? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dragoon said: Tena hao wote watakuwa hawajaolewa,, umri unasonga tu. Mtoa mada kama una mawasiliano na mmoja wao mlete nimuoe wajameni Click to expand... Mkuu Dragoon subiri nione jibu la shemeji yangu hapa, eti Khantwe shem una miaka mingapi??
T Ty_elias Member Joined Jan 12, 2015 Posts 30 Reaction score 2 Jan 16, 2015 #10 Haaaaaah haaaaaah haaaaaah haaaaaaaaah...!
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Jan 16, 2015 #11 BIGURUBE said: Mwanamke akiambiwa yy ni mkubwa sana huwa wanachukia, cjui kwanini! Click to expand... hahaha baaadhi tu bwana si unajuwa wanapenda wawe vibinti deile
BIGURUBE said: Mwanamke akiambiwa yy ni mkubwa sana huwa wanachukia, cjui kwanini! Click to expand... hahaha baaadhi tu bwana si unajuwa wanapenda wawe vibinti deile
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jan 16, 2015 #12 haha ha ha ha ha
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Jan 16, 2015 #13 utafiti said: Kila mmoja anataka aonekane mdogo Click to expand... mi napenda ukubwa uwe unaniamkia
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,257 Jan 16, 2015 #14 miss neddy said: hahaha baaadhi tu bwana si unajuwa wanapenda wawe vibinti deile Click to expand... Mfano mimi nina 35, miss neddy una miaka mingapi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
miss neddy said: hahaha baaadhi tu bwana si unajuwa wanapenda wawe vibinti deile Click to expand... Mfano mimi nina 35, miss neddy una miaka mingapi?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,202 Reaction score 99,941 Jan 16, 2015 #15 miss neddy said: mi napenda ukubwa uwe unaniamkia Click to expand... Shkamoo miss neddy una hamsini hapo? Hahahahahaa watoto wa Dar akikupa shakamoo ujue kuna jambo, lazima akupige mzinga Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
miss neddy said: mi napenda ukubwa uwe unaniamkia Click to expand... Shkamoo miss neddy una hamsini hapo? Hahahahahaa watoto wa Dar akikupa shakamoo ujue kuna jambo, lazima akupige mzinga
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Jan 16, 2015 #16 BIGURUBE said: Mfano mimi nina 35, miss neddy una miaka mingapi? Click to expand... juzi nilitimiza 38 kumbe ni mdogo wangu kabisa kihalali lol Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BIGURUBE said: Mfano mimi nina 35, miss neddy una miaka mingapi? Click to expand... juzi nilitimiza 38 kumbe ni mdogo wangu kabisa kihalali lol
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Jan 16, 2015 #17 Elli said: Shkamoo miss neddy una hamsini hapo? Hahahahahaa watoto wa Dar akikupa shakamoo ujue kuna jambo, lazima akupige mzinga Click to expand... hii nitajaribu kui apply kwako siku moja lol Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Elli said: Shkamoo miss neddy una hamsini hapo? Hahahahahaa watoto wa Dar akikupa shakamoo ujue kuna jambo, lazima akupige mzinga Click to expand... hii nitajaribu kui apply kwako siku moja lol
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,758 Reaction score 39,493 Jan 16, 2015 #18 Wanawake wanatamani wangekuwa wanaweka switch off kwenye miaka yao.....
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,257 Jan 16, 2015 #19 miss neddy said: juzi nilitimiza 38 kumbe ni mdogo wangu kabisa kihalali lol Click to expand... Hehehee uringe! Oh hata hivyo nilisahau, 35 ilikuwa ni mwaka majuzi ileee!
miss neddy said: juzi nilitimiza 38 kumbe ni mdogo wangu kabisa kihalali lol Click to expand... Hehehee uringe! Oh hata hivyo nilisahau, 35 ilikuwa ni mwaka majuzi ileee!
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Jan 16, 2015 Thread starter #20 miss neddy said: mi napenda ukubwa uwe unaniamkia Click to expand... Uliniambia June unatimiza 18 au???
miss neddy said: mi napenda ukubwa uwe unaniamkia Click to expand... Uliniambia June unatimiza 18 au???