Dr Slaa anachopigania ni kutaka chadema iendelea na UFISADI kama agenda muhimu.. kwasababu umaarufu wa dr pamoja na chadema umejengwa katika misingi ya kukemea ufisadi na sio kujenga hoja muhimu na kutoa sera.
Ndio maana Dr slaa siasa yake siku zote ni kusema watu kwa chuki, hasira na ubaya tuuu
Na hata yeye mwenyewe alisema kwamba sasa chadema haitakuwa na agenda ya ufisadi kwa sababu LOWASSA kajiunga nao nayeye huwa hapendi kuzungumzia mambo ya ufisadi hadhalani au kumshutumu mtu tena pasipo na ushahidi wowote..
Mbowe yeye hakupenda siasa ya aina hii na ndio maana wakati wa kumtambulisha Lowassa katika kamati kuu alisema hawawezi kuendelea na siasa za chuki na kutisamee pamoja na visasi..
Dr wewe kubali kalata zako hukuchanga vizuri sasa yamekushinda kabisa nenda mwachie LOWASSA anaweza jukumu la kusonga mbele na chadema kuwa mpya ..
Nenda kiroho safi kazi yako imekwisha pamoja na umarufu wako pia.
Dr ni kweli HAUFITI KATIKA SIASA CHADEMA.

Ni kweli kabisa, Dr. Slaa hakujua siasa za chadema, kitu ambacho alitakiwa kufahamu mapema ni kwamba Mwenyekiti wake ni wa namna gani- angejua kwamba Mbowe kwake pesa ndo muhimu sana, basi asingepoteza muda wake bure, nadhani kilichofanyika chadema ni elimu dogo ya mwenyekiti wao kuwalaghai wasomi wengi ndani ya chadema, na wasomi wote wameonekana kuwa elimu zao hawajazitumia vyema au pesa ndo imekuwa nambari one.
Kwa mtu mwenye akili timamu na anaye ipenda nchi yake, ukizingatia rushwa na ufisadi umekuthiri nchini, ulikuwa ni wakati wa kupata kiongozi wa kuondoa ujinga huo angalau hata kupunguza kwa kiasi, leo hii mnatafuta kiongozi fisadi mwenye pesa nyingi sana2 eti ili kuiondoa ccm madarakani, alafu baada ya hapo? Rushwa na ufisadi utakuwa umewekwa wapi? na hizo fedha za fisadi ambazo watu wachache ndani ya UKAWA ndo neema kwao, baada ta fisadi kushika nchi je hizo fedha zake atazirudisha vipi? Watwambie ili tujipange namna ya kurudisha hizo fedha, kwa wasomi waliomo ndani ya UKAWA siamini kama hawakulifahamu hili, ila kilchofanyika mimi na wewe hatujui, lakini hisia tunazo kwamba nn kinaendelea, leo hii chadema haizungumzii ufisadi wala rushwa du nchi imekwisha, nchi hii nimegundua wapinzani ni Dr. Slaa, Prof. Lipumba na Mchg. Mtikila.
Kama hawajakabidhiwa nchi wameanza dili mapema, je wakipewa itakuwaje? hivyo visima vya gesi watagawana vyote na wataweka mikataba migumu sana ambayo hutaweza kuihoji hata siku moja. Hofu yangu ni kitu kimoja, Tundu Lisu na wenzake watueleze kwa kina wakati wanamtangaza Lowasa ni mwizi na fisadi sugu walikuwa wamelewa viroba au walikuwa wanawaada watz? kwanini hawasemi majukwaan, au kwa sababu wanatambua kuwa watz walio wengi huwa wanadanganywa na kukubali bila shida yoyote ile, ila si wote tutakuwa wajinga kiasi hicho. Poleni kwa ambao bado hamjawaelewa hawa viongozi wa UKAWA na ajenda yao kwa mstakabali wa nchi hii.