Hao jamaa wameunda kundi lingine.Wawarudishe wale manguli wao wa zamani, akina Babu mkombe, Mchele n.k wao ndio waliokuwa kiboko...
Yah, niliona kundi lao wakiigiza tbc2,Hao jamaa wameunda kundi lingine.
Aisee kumbe wanatuboa wengiJapo wapo hovyoo kabisa wanatumia nguvu sana kuchekesha Alf zero.... Hata jinsi ya uongeaji wao Mimi ndo wanachonikeraa ni afadhari waongee kawaida tu lakini jambo liwe na mantiki....sio uongeaji ule hovyoo kabisaa..,