Kwanini dunia?

Ksbb ya mawazo ndio umeandika ili mradi tu?. Nia ni kutujulisha namna ulivyopata HIV na ilivyokusababishia mawazo. Tulia andika vizuri. Ila uondoe huo uongo wa kuazima sindano ikakuambukiza HIV,huo uongo uondoe. Eleza tu ukweli ulivyoingia kwenye mahusiano na hilo jimama. Huo uongo wa sindano kamwambie mdogoako,humu watu wana akili,kama wanakuwemo kichwani mwako.
 
UKIMWI Haupatikani Kwa sindano za kuazima mkuu tena za kushonea viatu? Au za kushonea nguo?
 
Vipimo ninavyo but naogopa kupima,, itokee nipime nikute ninao kwa kosa gan mim nimefany? Ningekuw malaya sawa but me innocent kabisa, dadaang ngj nilie kwanz
You are Man, 21 years now.... now Stop crying like a Woman dude, there are Millions of people who are HIV+ and still lives happily and taking care of themselves.
 
Mmmh! Siyo kweli, kwani hiyo uliikuta na damu? Pia uliitumia ndani ya muda huo huo na wewe pia kujichoma?
 
Huna HIV kinacho kusumbua wewe ni HOFU ukikuwa utanielewa namaanisha ninj
 
You are Man, 21 years now.... now Stop crying like a Woman dude, there are Millions of people who are HIV+ and still lives happily and taking care of themselves.
Asante sana kwa ushauri wako bro Yan miaka yote hyo nimekaa nikihisi Nina hiv kumbe sivyo, nimelia kwanza kisha nikapima nakuta imesoma C,, ntapima tena nilete mrejesho asanteni sana
 
Asante sana kwa ushauri wako bro Yan miaka yote hyo nimekaa nikihisi Nina hiv kumbe sivyo, nimelia kwanza kisha nikapima nakuta imesoma C,, ntapima tena nilete mrejesho asanteni sana

Utoto Raha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…