0
Nadhani 0 kihesabu ni magic number, wakati mwingine inamaanisha hakuna kitu wakati mwingine haimaanishi hivyo,mfano ni 0 hapo ni hakuna kitu,laki 10 hapo sifuri haimaanishi hakuna kitu
Sielewi ikiwa sijui 'kuzidisha' maana yake nini au 0 maana yake nini
Lakini tukirudi kwenye uhalisia, sielewi kwa nini watu 1000 ukizidisha mara sifuri,hao watu elfu moja hupotea wote