Kwanini Differential equation?

dt/dx=e^-ERt,
Sijui formula ya kitu Gani hii. Kikubwa Kuna differentiation.

Mmenikwaza mnapowatukana watu wa BAM.
 
Watu 1000 ukizidisha mara 0 unapata watu sifuri,hii imekaaje,wale watu 1000 wameenda wapi na walikuwepo!?
Mfano unaposema watu sifuri ni sawa na black hole yaan ndo sifuri lenyewe..

Sasa ukichukua watu 1000 ukazidisha na hili lisifuri yaan black hole watu wata potea wote...

Wabillah taufuq
 
Reactions: Lax
Nina mashaka kama kweli unaijua hiyo differential equation unayoitaja. Acha kuokoteza vitu mitandaoni bila kuelewa kisha unakuja kugeneralize mambo ya msingi.
Anaijua zaidi unavyozania..
Hata mi mwanzo nilimchukulia baba angu huyu ni hamnazo ila sasa naona kabisa baba ni ginius
 
dt/dx=e^-ERt,
Sijui formula ya kitu Gani hii. Kikubwa Kuna differentiation.

Mmenikwaza mnapowatukana watu wa BAM.
Hii ni formula ya kutafuta temperature of black body kama jua na nyota zingine kubwa ambako

dt/dx ni variable
e ni estanagsjkrtr costant
E ni Electric blanket costant
R ni Roybergy Costant
t ndo temperature in surface
 
Mfano unaposema watu sifuri ni sawa na black hole yaan ndo sifuri lenyewe..

Sasa ukichukua watu 1000 ukazidisha na hili lisifuri yaan black hole watu wata potea wote...

Wabillah taufuq
Numbers siyo mfano,na sijawahi fundishwa sifuri ni black hole, sifuri kwenye 20 bado ni black hole?
 
Complicated maths ni matokeo ya uwezo mdogo wa binadam kuchambua mambo
 
Watu 1000 ukizidisha na mtu mmoja,unapata watu 1000 walewale,watu 1000 ukizidisha na watu(mtu) 0 unapata watu sifuri,hawa 1000 wameenda wapi?
Mtu sifuri maana yake nini nielekeze hapo mkuu...
Mtu mmoja nimekuelewa vizri sana

Ila hapo kwa mtu sifuri ndo nielekeze ili na mi nijue nazidisha vipi huyo mtu 0
 
0
Mtu sifuri maana yake nini nielekeze hapo mkuu...
Mtu mmoja nimekuelewa vizri sana

Ila hapo kwa mtu sifuri ndo nielekeze ili na mi nijue nazidisha vipi huyo mtu 0
Nadhani 0 kihesabu ni magic number, wakati mwingine inamaanisha hakuna kitu wakati mwingine haimaanishi hivyo,mfano ni 0 hapo ni hakuna kitu,laki 10 hapo sifuri haimaanishi hakuna kitu
Sielewi ikiwa sijui 'kuzidisha' maana yake nini au 0 maana yake nini
Lakini tukirudi kwenye uhalisia, sielewi kwa nini watu 1000 ukizidisha mara sifuri,hao watu elfu moja hupotea wote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…