Kwanini Differential equation?

Katika moja ya hesabu ambazo zinatumika sana kwenye physics basi differential equation ni moja wapo na zimesashatumika maeneo yafuatayo;-
  1. Newton alitumia differential equation
  2. Schrodinger alitumia differential equation
  3. Albert Einstein naye alitumia differential equation
 
Haya mambo huko kwao yanaishia kuendeshea bodaboda kwa tairi moja tena speed kali sana huku wamelala kwenye tank la mafuta
 
Ni differential equation Mkuu haipo kwenye BAM HiiπŸ˜‚πŸ˜‚
Weee BAM tunapiga differ na integr mkuu japo hatuendi deep....
Hapa kwenyewe napiga sana hizo differential by first principle
 
BAM kuna differentiatiation na integration ila hakuna differential equation kakaπŸ˜‚
Kwahyo ww unataka kusema yale madude sio ma equation...
Nyie mbwa mbona mnataka kufanya maisha magumu inamana yale madude yote bado hatujafikia hata robo ya hyo topic au πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…