riba Member Joined Dec 30, 2016 Posts 23 Reaction score 13 Feb 26, 2017 #1 Hili suala linanishangaza sana kuna magari MADOGO sana mengi kama vile vitz,starlet,ist,n.k.....Nini siri ya haya magari kuwa mengi dsm???? Naomba kujua??????
Hili suala linanishangaza sana kuna magari MADOGO sana mengi kama vile vitz,starlet,ist,n.k.....Nini siri ya haya magari kuwa mengi dsm???? Naomba kujua??????
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,141 Feb 26, 2017 #2 Sehemu iliyo na watu Wengi,Huduma mbovu za usafiri Jijini,Watu Wengi Wenyw kipato cha kati Unategemea nini.??
Sehemu iliyo na watu Wengi,Huduma mbovu za usafiri Jijini,Watu Wengi Wenyw kipato cha kati Unategemea nini.??
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Feb 26, 2017 #3 Wewe ulitaka malori ndiyo yawe mengi, labda wanabana matumizi
Maguge Maguge JF-Expert Member Joined Sep 1, 2016 Posts 2,734 Reaction score 1,780 Feb 26, 2017 #4 hata ulaya Gari zinazotumika zaidi ni ndogo ndogo, sema wao ni za bei kubwa
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,709 Feb 26, 2017 #5 Magari madogo ndiyo habari ya mujini tena karibia nchi zote, kikikubwa hazihitaji parking space kubwa, fuel consumption kidogo, etc
Magari madogo ndiyo habari ya mujini tena karibia nchi zote, kikikubwa hazihitaji parking space kubwa, fuel consumption kidogo, etc
Sahani20 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 1,517 Reaction score 743 Feb 26, 2017 #6 tuanzie hapa,, wewe una kubwa au ndogo
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Feb 26, 2017 #7 Kazi kweli
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,451 Reaction score 50,183 Feb 26, 2017 #8 Magari uyaone kwao, maswali utuulize sisi, si uwasimamishe uwaulize wenyewe?
iparamasa JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 13,437 Reaction score 14,934 Feb 26, 2017 #9 Hawana hela ya mafuta Wanaovuta wanyama kama Range Rover za 2015,BMW X6......,VXV8, na wanyama wa kiumeni kama hao wako arushaaaaaa!!!! Dar wanakunywa safari ndogo,na wanapiga pombe kali kabla ya kunywa heinkein
Hawana hela ya mafuta Wanaovuta wanyama kama Range Rover za 2015,BMW X6......,VXV8, na wanyama wa kiumeni kama hao wako arushaaaaaa!!!! Dar wanakunywa safari ndogo,na wanapiga pombe kali kabla ya kunywa heinkein
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,911 Feb 26, 2017 #10 70% ya madereva dar ni wanawake!hiyo ndiyo sababu kuna nagari mengi madogo
DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,970 Feb 26, 2017 #11 Sababu barabara nzuri