Zipo tatu kwa sababu
Ya kwanza ikipasuka kwa bahati mbaya unavaa ya pili, ingekuwa moja watu wengine wangepiga kavu kama hiyo ya kwanza ina pasuka kwahiyo ya pili ni mbadala ya kwanza
Ya tatu kazi yake ni raindi 2,,,, kwa wale wenye nguvu zao.... Kwa wale wa bao moja tu wataitumia cku nyingine
Kondom ni mpira laini uliotengenzwa kwa ajili ya kuchezea mechi za kikubwa kitandani.mpira huo huweza kizuia magonjwa na mimba zisizo tarajiwa. NB.jiandae kwa practice at a momentπ‘π