aggrey kimambo
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 129
- 142
Ni desktop dell, intel core 2, 2gb ram 360hdd. Lakini nikitaka tuu kubrowse via mozila firefox au internet explore computer inakuwa slow sana kwa kuload na inastuck. Natumia modem ya halotel nashikwa na ghadhabu sana mpaka nataka niipasue computer. Ilo tatizo natatuaje wakuu??