juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
Katika vitu ambavyo huwa naishangaa clouds fm ni kutopiga nyimbo za wasanii ambao ilishagombana nao huko nyuma.kama mnavojua ile Antivirus volume one na two,kwa kweli clouds walitukanwa sana mle ndani,sikutegemea kama ipo siku wale wasanii wataomba msamaha kwa jinsi walivokunya kwenye zile nyimbo.
Alianza Sugu,aliomba msamaha akasamehewa lakini nyimbo zake hazipigwi clouds na wala hapewi show za clouds,
Wakaja Mapacha,hawa hadi leo nawashangaa sana.waliomba msamaha ,wakasamehewa lakini nyimbo zao hazipigwi clouds na show hawapewi,wanauza tu fulana masikini ya mungu.
Na sasa kaja Jay dee,nae anaomba msamaha kwa ujanjaujanja,nae atasamehewa ila hatapigiwa nyimbo,wasanii wa bongo ni hovyo sana,hawana misimamo kabisa.sasa nawasubiri hawa wafuatao ,nao watasamehewa ila wasahau kupigiwa nyimbo zao.kuna Dani msimamo,Adili hisabati,mkoloni wa wagosi wa kaya,Suma G na Rubby.na huyu Rama dee,nina uhakika kawekewa tego na Ruge.juzi Ruge kasema moja ya wasanii anaopenda nyimbo zake ni Rama Dee.sasa kwa ushamba wa wasanii wa bongo usishangae Rama dee akaomba msamaha kwa sababu tu kasikia nyimbo zinapendwa.atasamehewa ila hatopigiwa ngoma zake.nadhani Ruge anapenda tu kuwachoresha wasani