KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
Sina kumbukumbu sahihi kuwa CDM walishindwa uchaguzi huko Igunga....labda sikumbuki
Sina kumbukumbu sahihi kuwa CDM walishindwa uchaguzi huko Igunga....labda sikumbuki
CHADEMA ilishindwa kihalali kabisa Igunga kwa kuwa imeshindwa kupenyeza siasa zake kwa wananchi wa vijijini.....bado kuna watu wanaamini wapinzani ni wahuni,hawana hela wataendesha vipi serikali,CCM imewazaa,Ukichagua upinzani serikali inawapotezea na nchi inaweza ingia vitani....hizi poor ideologies ndio sababu kuu ya CDM kushindwa Igunga.
Mimi ninachokumbuka tuu ni utekaji na mauaji ya kikatili yaliyo fanywa na polis kwa mtu aliyekuwa yupo upande wa chadema
Na huyu je humkumbuki??au kwa kuwa hakua wa chadema?
KADA WA CCM ALIYEMWAGIWA TINDIKALI na WAFUASI WA CHADEMA IGUNGA AREJEA NCHINI KUTOKA INDIA BAADA YA MATIBABU
Mkuu jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Hapa unaongelea jambo ambalo hulijui kabisa. Je una hakika ni kweli CDM walishindwa igunga? Unajua kuna mengi sana yanafanywa na hii serikali, mimi huwa nashangaa sana kuyashuhudia mambo kama hayo.Hivi chadema kama chama makini kikuu cha upinzani imekua ikifanya tathmini kila baada ya chaguzi mbalimbali kinazoshiriki kumalizika??
kama ndio je waliwahi pia kukaa chini na kufanya tathmini kitaalamu kuangalia ni vipi walishindwa vibaya igunga?Nasema hivi ikiwa ni angalizo ili sababu zilizowacost kwenye uchaguzi wa igunga zisijirudie tena kwenye chaguzi nyingine ndogo na kubwa ikiwamo hii ya Arumeru ambapo naanza kuona kama mambo ya Igunga(kufanya siasa za PERSONALITIES kwa kudeal zaidi na MWIGULU na mambo yake na kuacha siasa za ISSUES)yakishika kasi sana,japo sielewi haya mambo ni humu tu jamii forum au hata huko site nako watu wa chadema wana deal zaidi na mwigulu,kama mpo mlioko huko kwenye uwanja wa mapambano hebu mtujuze.
Nawasilisha.
Mkuu jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Hapa unaongelea jambo ambalo hulijui kabisa. Je una hakika ni kweli CDM walishindwa igunga? Unajua kuna mengi sana yanafanywa na hii serikali, mimi huwa nashangaa sana kuyashuhudia mambo kama hayo.
Kuhusu uchaguzi wa igunga mkuu wewe acha tu kwani kuna uhalifu mkubwa sana umefanyika. Siku itakapoanguka hii serikali mambo mengi sana ya aibu mtayasikia.
Kwa kifupi mgombea wa ccm hakushinda uchaguzi bali alitangazwa mshindi na msimamizi wa uchaguzi.
Ndugu wadau je hamjui janja ya CCM, huyu ni wa ccm na iliyemwagia tindikali ni wa ccm ilikujitafutia umaarufu. waweze kumuuwa baba jkn sembuse kumwagia mwenzao tindikali. Ndugu sisi tunauelewa wakutosha kabisaa sikiliza HATUDANGANYIKIIIIIIIII.
Mkuu big up. CHADEMA hawana jipya. Hiyo ndiyo sera yao kubwa. They are always dealing with people and not issues. Sasa watamtambua SIOI wanaona aibu kuwepa picha za kampeni za ccm humu JF sisi tulioko huku Arumeru ni noma. Tena wasije wakasubutu kuna na vimaneno vya kuwa wameibiwa Kura. Safari hii hawaambulii hata robo ya kura zote. Sababu kubwa ni hiyo hiyo ya kampeni za kutukana badala ya sera.Hivi chadema kama chama makini kikuu cha upinzani imekua ikifanya tathmini kila baada ya chaguzi mbalimbali kinazoshiriki kumalizika??
kama ndio je waliwahi pia kukaa chini na kufanya tathmini kitaalamu kuangalia ni vipi walishindwa vibaya igunga?Nasema hivi ikiwa ni angalizo ili sababu zilizowacost kwenye uchaguzi wa igunga zisijirudie tena kwenye chaguzi nyingine ndogo na kubwa ikiwamo hii ya Arumeru ambapo naanza kuona kama mambo ya Igunga(kufanya siasa za PERSONALITIES kwa kudeal zaidi na MWIGULU na mambo yake na kuacha siasa za ISSUES)yakishika kasi sana,japo sielewi haya mambo ni humu tu jamii forum au hata huko site nako watu wa chadema wana deal zaidi na mwigulu,kama mpo mlioko huko kwenye uwanja wa mapambano hebu mtujuze.
Nawasilisha.
Hivi chadema kama chama makini kikuu cha upinzani imekua ikifanya tathmini kila baada ya chaguzi mbalimbali kinazoshiriki kumalizika??
kama ndio je waliwahi pia kukaa chini na kufanya tathmini kitaalamu kuangalia ni vipi walishindwa vibaya igunga?Nasema hivi ikiwa ni angalizo ili sababu zilizowacost kwenye uchaguzi wa igunga zisijirudie tena kwenye chaguzi nyingine ndogo na kubwa ikiwamo hii ya Arumeru ambapo naanza kuona kama mambo ya Igunga(kufanya siasa za PERSONALITIES kwa kudeal zaidi na MWIGULU na mambo yake na kuacha siasa za ISSUES)yakishika kasi sana,japo sielewi haya mambo ni humu tu jamii forum au hata huko site nako watu wa chadema wana deal zaidi na mwigulu,kama mpo mlioko huko kwenye uwanja wa mapambano hebu mtujuze.
Nawasilisha.
kwa hiyo wewe kumbu kumbu zako zinaonyesha mbunge wa igunga anatoka chadema kama wale wengine ambao mpaka leo wanaamini slaa ndio rais wa tanzania?