Kwanini Chadema huwa hawasikilizi Rufaa za Wanachama Wao?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,638
Mchungaji Msigwa amehamia CCM huku Rufaa yake Chadema ikiwa haijasikilizwa

Halima Mdee na wenzake Rufaa zao zilisikilizwa baada ya Miaka 2

Nyalandu hadi anahama Rufaa yake ilikuwa haijasikilizwa

Kwanini lakini?
 
Hawajaunda kamati ya masaa 72 ila msigwa ule mzigo wa kulipiwa magereza ndio ameutendea haki leo hata anko Magu anacheka huko kaburini!
 
Mchungaji Msigwa amehamia CCM huku Rufaa yake Chadema ikiwa haijasikilizwa

Halima Mdee na wenzake Rufaa zao zilisikilizwa baada ya Miaka 2

Nyalandu hadi anahama Rufaa yake ilikuwa haijasikilizwa

Kwanini lakini?
Mbowe huwa yuko nyuma ya pazia watu wanapohama. Ananufaika.
 
Back
Top Bottom