ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Mi sja pingaDiamond hajagombana na media ila media ndio zimegombana na yeye...Yeye alichokosea ni kusimamia maslahi ya biashara zake, angefata utaratibu wao wa biashara angekuwa kipenzi chao kama nandy au aslay..yeye alichosema imetosha
Aah kwa huyu jamaa ni ngumu, labda wale watoto paleDiamond baadaye atajikuta amebaki rafiki yake ni Makonda na Lemutuz tuu.
Especially kwakuwa kagombana na media kubwa nyingi.
Jux anasapotiwa na wengi ila ana nini cha kumzidi hata aslay au ney wa mitego??Nimekuwa nikifuatilia kazi nyingi sana anazifanya Fanya Diamond platnumz amekuwa hapati Support kubwa toka kwa wasanii wenzie na watu wengine maarufu tofauti na wasanii wengine Je hii ni kwanini??
Kazi nyingi Mashabiki na Team zake ndio wamekuwa wakimsaupport sana hata kupost kwenye mitandao mingi ya kijamii pamoja Na Ma Ex wake lakini watu wengine maarufu wamekuwa wazito sanaaa kumsupport Diamond Je ni kwanini???
Akitoa wimbo Jux support anayopata toka kwa wasaniii wenzie ni kubwaa kuliko anayopata Diamond akitoa wimbo. Mfano African Beauty Ni kama wasanii 10 au Chini ya hapoo Ndio walio post kazi hiyo hata album yake ni kama wasanii 8 tuu wamepost Je hii ni kwanini?
Hii ndio comment bora kabisa kwenye huu Uzi!Ukimuuliza diamond kwanin hajawai kumsapot lady jaydee jibu atakalokupa!!utaelew kwanin nae hapew sapot saiz
We ndo unaangalia mambo kwa mapanaUkimuuliza diamond kwanin hajawai kumsapot lady jaydee jibu atakalokupa!!utaelew kwanin nae hapew sapot saiz