Ccm ni chama ambacho kimeamua kuitawala hii Nchi kifamilia. Na tena wanaitafuna Nchi wao na ndugu zao. Kwa mfano Sumari wa Arumeru mashariki alifariki ccm wakampa Sioi mwanaye kugombea akapigwa chini na Nassari. Jimbo la Kalenga sasa kapewa mtoto wa Mgimwa, Chalinze kapewa Ridhiwani Kikwete. Sasa kwa taswira hiyo mtoto wa maskini atakuja kushika nafasi gani kama watoto wa viongozi tu ndio wanaopewa fursa kwa nafasi zinazotokea?. Na hili linadhihirisha wazi kuwa ndio sababu Serikali ya
mwisho wa ccm ni kuwa na chama bora kuliko ccm lakini sio hilo li chama lenu lilijaa maovu.halafu bila aibu mnakuwa na uroho wa kutawala nchi hii mijizi mikubwa kama nyie.mnafikiri watu ni wajinga sanamwisho wao utafika tu
mwisho wa ccm ni kuwa na chama bora kuliko ccm lakini sio hilo li chama lenu lilijaa maovu.halafu bila aibu mnakuwa na uroho wa kutawala nchi hii mijizi mikubwa kama nyie.mnafikiri watu ni wajinga sana
najua imekuchomainaonyesha sirinji imeingia vizuri. Tulia upone.
mm nilikuwa nashangaa kwann watoto wa viongoz wa ccm %kubwa ni mabonge wakati umri wao ni mdogo,leo jibu nimepata
Wezi wanaogopa njia zao zitagundulika
mwisho wa ccm ni kuwa na chama bora kuliko ccm lakini sio hilo li chama lenu lilijaa maovu.halafu bila aibu mnakuwa na uroho wa kutawala nchi hii mijizi mikubwa kama nyie.mnafikiri watu ni wajinga sana
CHADEMA mngemaliza kwanza wizi na udokozi kwenye chama chenu kwanza ndipo mfikirie mambo ya nchi wakati huo mkiwa wasafi.