juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,475
Nakumbuka kabla hatujatangaziwa na serikali kwamba Kigoda kafariki, habari zilisambaa mitandaoni kwamba kafariki ila zilikanushwa, haya ikaja ya jana hiyo kwamba watu wamepata ajali, pia ikakanushwa.
Halafu masaa kadhaa baadae inatangazwa kwamba ni kweli ,sasa kwa nini kila kitu hawa mabwana wanakanusha harafu baadae wanakubali?
Maajabu ya dunia haya.
Halafu masaa kadhaa baadae inatangazwa kwamba ni kweli ,sasa kwa nini kila kitu hawa mabwana wanakanusha harafu baadae wanakubali?
Maajabu ya dunia haya.