Kwanini CCM Ndio hawamwamini Mwanaccm mwenzao aliyedai amekataa kupokea Rushwa ya Milioni 300?

Chukulia mfano askali wa barabarani wanachukua rushwa ya wazi tena Kwa ubabe itakuwa yeye, tunaona kipindi cha uchaguzi wa ndani bila mzigo utoboi maana hao wajumbe njaa kibao alafu Leo anatokea mtu mmoja kusema amekataa 300M Haaa! atuache kidogo. Zawadi aliyopewa ya uwaziri baada ya kutetea bandari kubinafsishwa wale Wana habari aliwaita Kwa njia gani au nani alimdhamini tunatambua Rushwa ipo Kwa mtoaji na mpokeaji , amelewa madaraka inapaswa Mh Raisi SSH ampumzishe huko ni kutia doa Kwa dhahiri Chama na serikali.
Mifumo ikiwa ya haki Rushwa itakuwa habari ngeni kabisa Kwa maana kila Jambo litakuwa linaenda Kwa uwazi na weledi.
 
au wanawapooza wazee hapo
Wakina tibaijuka maana nao wamekomaa kweli kweli

Ova
Tibaijuka yuko moto kweli kwenye hii issue. Bila yeye nadhan Waziri asingeingilia kati.

Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama Kijenge Road, njia panda ya kwenda Police Mabatini. Ukitoka kituo tu kiwanja kinachofuata ni nyumba za makazi na hakuna alielalamika wala Waziri hajaenda huko.

Tandale uzuri kutoka Sinza Kijiweni mpaka Magomeni Makanya kwa Bi Nyau kote huko ni makazi ya watu na kuna vituo vingi vilivyojengwa na vinavyoendelea kujengwaa tu lakini Waziri yuko kimya.
 
Inaonekana majirani na wakazi hapo mikocheni hawakitaki kituo hicho
Wakazi wengk wa dar wangekuwa kama.jamaa wa hapo mikocheni
Basi tusingeburuzwa
Maana njiaa ya tandale sinza imejaa vituo balaa mpaka vibarazani mwa watu

Ova
 
Hapa Jf tunafahamiana kiitikadi na hadi sasa wanaopinga Waziri Silaa hajapokea mgao wa Rushwa wa milioni 300 ni Wanaccm wenzake

Kwanini?

I wish you a Merry Christmas 😀
Kwani wewe mwenyewe hukumuona na kumsikia akiongelea madai hayo?
Wakati akiongelea swala la hicho kituo alikua very straight, ilipofika madai ya hiyo rushwa akaongelea kwapani huku sauti ikitokea puani, halafu hata hiyo milioni 300 yenyeww hakuisema, alichosema ni "Kuna tatu yako".
Kingine ameongelea madai ya kusimamia haki za watu wakati yeye na CVM wote wansjua jinsi alivyoupata ule ubunge, wanakumbuka msimamo wake juu ya bandari na shombo alizozitoa.

Kubwa kuliko yote ni kiongozi, tena waziri kuongelea Kwapani madai ya watu fulani kutaka kumhonga kama story fulani tu, bila kupeleka madai hayo kwa vyombo husika ili yafanyiwe kazi na hatua kuchukuliwa dhidi ya wahusika.
 
Kwani wewe mwenyewe hukumuona na kumsikia akiongelea madai hayo?
Wakati akiongelea swala la hicho kituo alikua very straight, ilipofika madai ya hiyo rushwa akaongelea kwapani huku sauti ikitokea puani, halafu hata hiyo milioni 300 yenyeww hakuisema, alichosema ni "Kuna tat yako".
Kingine ameongelea madai ya kusimamia haki za watu wakati yeye na CVM wote wansjua jinsi alivyoupata ule ubunge, wanakumbuka msimamo wake juu ya bandari na shombo alizozitoa.

Kubwa kuliko yote, ni kiongozi tena waziri kuongelea Kwapani madao ya kutaka kuhongwa kama story bila kupeleka madai hayo kwa vyombo husika ili yafanyiwe kazi na hatua kuchukuliwa.
Kwahiyo alihusika na DP World?
 
Back
Top Bottom