Kwanini CCM na Magufuli wataondoka madarakani 2020

pepsin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
3,487
Reaction score
6,172
Kuna kila dalili kuwa CCM itaanguka vibaya sana 2020.
Sababu kuu juu ya anguko hilo ni,

1.Wananchi kuchoshwa na udikteta wa rais.Ni hulka ya binadamu kutaka kuwa huru,yeye na ndugu zake hata kama utampa kila kitu.

2.Kutokutekelezwa kwa ahadi na kutokutatuliwa matatizo ya wananchi.Serikali inaonekana haitoweza kutatua kero za wananchi kama walivyotarajia.

Mambo kama kuhamisha Makao Makuu sio kipaumbele cha maskini walio wengi,kuzuia safari haleti credit sana kwa wananchi.

3.Kutunza amani,udugu na mshikamano.Kauli za wakuu wa sasa zinajaza watu hofu,wanatishwa! Wakipata mtu wa kuwapa moyo,wataachana na kauli za kibaguzi kwa kutoichagua CCM.

4.Kuimarika kwa ushirikiano wa vyama Vya upinzani.CUF na CHADEMA,vyama vikuu vinahisi kunyanyaswa na serikali ya CCM,hivyo vitaungana tena na Labda kuunda chama kimoja! Hiki chama au huu muungano utakuwa na nguvu sana.

5.Kudorora kwa kuaminiana ndani ya CCM.Wale jamaa watahujumiana na ndio maana wananyukana kimyakimya.Mf.nyuzi za ndg Lizaboni wa JF wakati wa mchakato wa kumtawaza Dr.Magufuli uenyekiti wa CCM.

Chamsingi ni upinzani kuwa imara.
 
Huu ni mtazamo wako na co mtazamo wa wananchi unaowasemea! Unachekesha sana [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hizo ndio ndoto za mchana mtasubiri sana mpaka mwaka 3000.

Mwenyekiti CCM JF
 
UKAWA bwana
 
Bila kutaja tume huru ya uchaguzi unajidanganya. Kama tume ndiyo hii hih ya makada wa ccm
Kuna kila da udikteta wa rais.Ni hulka ya binadamu kutaka kuwa huru,yeye na ndugu zake hata kama utampa kila kitu.

2.Kutokutekelezwa kwa ahadi na kutokutatuliwa matatizo ya wananchi.Serikali inaonekana haitoweza kutatua kero za wananchi kama walivyotarajia.

Mambo kama kuhamisha Makao Makuu sio kipaumbele cha maskini walio wengi,kuzuia safari haleti credit sana kwa wananchi.

3.Kutunza amani,udugu na mshikamano.Kauli za wakuu wa sasa zinajaza watu hofu,wanatishwa! Wakipata mtu wa kuwapa moyo,wataachana na kauli za kibaguzi kwa kutoichagua CCM.

4.Kuimarika kwa ushirikiano wa vyama Vya upinzani.CUF na CHADEMA,vyama vikuu vinahisi kunyanyaswa na serikali ya CCM,hivyo vitaungana tena na Labda kuunda chama kimoja! Hiki chama au huu muungano utakuwa na nguvu sana.

5.Kudorora kwa kuaminiana ndani ya CCM.Wale jamaa watahujumiana na ndio maana wananyukana k
 
Huu ni mtazamo wako na co mtazamo wa wananchi unaowasemea! Unachekesha sana [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Lakini Mtoa mada katoa sababu zake, je wewe zako za kupinga hoja zake ni zipi?

Hoja hujibiwa kwa hoja, sio kumzodoa au kumthihaki kama mnavyofanya baadhi yenu humu.

Chama chochote cha siasa lazima kishinde hoja za kisiasa kwa hoja zenye nguvu tena katika majukwaa ya siasa sio kwa nguvu za dola, ajeshi nk
 
Who knows what will happen tomorrow?possible
 
Kuna kila dalili kuwa CCM itaanguka vibaya sana 2020.
Sababu kuu juu ya anguko hilo ni,

1.Wananchi kuchoshwa na udikteta wa rais.Ni hulka ya binadamu kutaka kuwa huru,yeye na ndugu zake hata kama utampa kila kitu.

2.Kutokutekelezwa kwa ahadi na kutokutatuliwa matatizo ya wananchi.Serikali inaonekana haitoweza kutatua kero za wananchi kama walivyotarajia.

Mambo kama kuhamisha Makao Makuu sio kipaumbele cha maskini walio wengi,kuzuia safari haleti credit sana kwa wananchi.

3.Kutunza amani,udugu na mshikamano.Kauli za wakuu wa sasa zinajaza watu hofu,wanatishwa! Wakipata mtu wa kuwapa moyo,wataachana na kauli za kibaguzi kwa kutoichagua CCM.

4.Kuimarika kwa ushirikiano wa vyama Vya upinzani.CUF na CHADEMA,vyama vikuu vinahisi kunyanyaswa na serikali ya CCM,hivyo vitaungana tena na Labda kuunda chama kimoja! Hiki chama au huu muungano utakuwa na nguvu sana.

5.Kudorora kwa kuaminiana ndani ya CCM.Wale jamaa watahujumiana na ndio maana wananyukana kimyakimya.Mf.nyuzi za ndg Lizaboni wa JF wakati wa mchakato wa kumtawaza Dr.Magufuli uenyekiti wa CCM.

Chamsingi ni upinzani kuwa imara.
Usitusemee wananchi wote,

huo nimtazamo wako
 
Hiyo sentensi ya kuitoa ccm kila mwaka mnasema, msije kulalamika mmeibiwa kura
 
Kuna kila dalili kuwa CCM itaanguka vibaya sana 2020.
Sababu kuu juu ya anguko hilo ni,

1.Wananchi kuchoshwa na udikteta wa rais.Ni hulka ya binadamu kutaka kuwa huru,yeye na ndugu zake hata kama utampa kila kitu.

2.Kutokutekelezwa kwa ahadi na kutokutatuliwa matatizo ya wananchi.Serikali inaonekana haitoweza kutatua kero za wananchi kama walivyotarajia.

Mambo kama kuhamisha Makao Makuu sio kipaumbele cha maskini walio wengi,kuzuia safari haleti credit sana kwa wananchi.

3.Kutunza amani,udugu na mshikamano.Kauli za wakuu wa sasa zinajaza watu hofu,wanatishwa! Wakipata mtu wa kuwapa moyo,wataachana na kauli za kibaguzi kwa kutoichagua CCM.

4.Kuimarika kwa ushirikiano wa vyama Vya upinzani.CUF na CHADEMA,vyama vikuu vinahisi kunyanyaswa na serikali ya CCM,hivyo vitaungana tena na Labda kuunda chama kimoja! Hiki chama au huu muungano utakuwa na nguvu sana.

5.Kudorora kwa kuaminiana ndani ya CCM.Wale jamaa watahujumiana na ndio maana wananyukana kimyakimya.Mf.nyuzi za ndg Lizaboni wa JF wakati wa mchakato wa kumtawaza Dr.Magufuli uenyekiti wa CCM.

Chamsingi ni upinzani kuwa imara.

Kauli za juzi kule Zanzibar zimeleta mpasuko sana ndani ya mioyo ya Watanzania wengi, hata baadhi ya wanaccm zimewakera...wengi wanadai hazikuwa na mahudhui ya kitaifa hasa pale unapomshangaa Dr Shein anayetimiza matakwa ya sheria kwa kumtaka avunje sheria ili kukidhi matakwa ya tafauti zao za kiitikadi
 
Back
Top Bottom