Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Bnsr!.
Nimekuwa mara nyingi napita mitandaoni,na hata kwenye maongezi ya viongozi wa kubwa kuwageuzia makosa wapinzani.
Kwa mfano,kuna weza kuwepo tukio kubwa linalohitaji viongozi hawa kukutana lakini mpinzani hapewi taarifa yoyote na baadae utashangaa anasemwa kuwa hakuhudhuria.
Lakini wote mtakuwa mashahidi CCM iliwahi kuwa na Greengaurd(hadi watoto chini ya miaka18) na hata wakawapa mafunzoya kijeshi na kuwafunza kutumia siraha za moto likini baadae lawama zilienda kwa redguard ambao hata bundiki walikuwa hawajawahi kuziona.
YAPO MENGIY kutolea mifano lakini niishie hapa.
Kwanini CCM HUWAGEUZIA WENZAO SHUTUMA?