Kwanini CCM inawazungumzia sana waliohamsishha maandamano ya amani na imekaa kimya kwa walioua Watanzania?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Neno langu kwenu ni Moja , MAUAJI YA HALAIKI yaliofanywa nanyi ,HAYAWEZI KUSAHAULIKA KWA NAMNA YOYOTE ILE.

Msivyokua na Bahati, Wauaji wengine waliiua huku walisema 'Tunalipa KISASI Cha Wazanzibar walouliwa miaka Ile ".

Bahati Mbaya sana, Bunduki na Risasi mlotumia Kuwaua Watanzania Zinapatikana na kuuzwa pia Kwenye Masoko .

Sasa basi, Endeleeni Kuwakejeli watanzania, Nyie SI Wanaccm? Mnavyeo? Mna TISS ? na MAJESHI ?.

Kama mlivyokua mkipishana kwenye Vyombo vya Habari Mkijigamba na kujinasabu kua 'Hamna nywii nywii nywii Wala nywaa nywaa nywaa , hamna mdudu wa kuandamana'.

Tukawakamata mkiwa hamjajiandaa, Tukawashangaza , NDIVO AMBAVYO TITAENDELEA KUWASHANGAZA.

Safari hii Sasa, Kile mlichotumia Kuwaua Watanzania ,Kitawageukia Nyinyi na Familia zenu. ( HII NI HAKIKA KABISA).

Hamuwezi kuua watu alafu bado mnajitapa na kujitoa ufahamu , Tunaishi na Nyinyi, Tunajua mnapokwenda, Tunajua magari yenu, tunajua Familia zenu , Hauwezi kua Fisadi na mtumiaji vibaya wa Kodi za Watanzania, alafu ukazunguka Dar Es Salaam na Magari ya Kifahari, Ukiteka na Kuua watu ,ukitamba as if MUNGU HAYUPO..MUNGU YUPO NA ATAWAADHIBU TU, NO WAY, ATAWASHUGHULIKIA TU

Manabii wanaposema ,Madiwani na Wabunge wa CCM MSISHIRIKI DHAMBI , ni Ujumbe wa Onyo na Upendo ambao MUNGU anautumia ili mgeuke.

TANZANIA, HAIWEZI KURUDI KAMA ZAMANI, NI AMA WATANZANIA WASHINDE, AU MUENDELEEE KUTEKA NA KUUA.

Hamna nafasi ya Katikati

Asubuhi Njema !!.
 
Samia ni shetani 💯, tulipofikia hakuna kurudi nyuma, watu laki tano kuandamana kuzunguka ikulu, na sitashangas ugaidi wa kulipuana ukaanza, hii ni vita
 
Neno langu kwenu ni Moja , MAUAJI YA HALAIKI yaliofanywa nanyi ,HAYAWEZI KUSAHAULIKA KWA NAMNA YOYOTE ILE.

Msivyokua na Bahati, Wauaji wengine waliiua huku walisema 'Tunalipa KISASI Cha Wazanzibar walouliwa miaka Ile ".

Bahati Mbaya sana, Bunduki na Risasi mlotumia Kuwaua Watanzania Zinapatikana na kuuzwa pia Kwenye Masoko .

Sasa basi, Endeleeni Kuwakejeli watanzania, Nyie SI Wanaccm? Mnavyeo? Mna TISS ? na MAJESHI ?.

Kama mlivyokua mkipishana kwenye Vyombo vya Habari Mkijigamba na kujinasabu kua 'Hamna nywii nywii nywii Wala nywaa nywaa nywaa , hamna mdudu wa kuandamana'.

Tukawakamata mkiwa hamjajiandaa, Tukawashangaza , NDIVO AMBAVYO TITAENDELEA KUWASHANGAZA.

Safari hii Sasa, Kile mlichotumia Kuwaua Watanzania ,Kitawageukia Nyinyi na Familia zenu. ( HII NI HAKIKA KABISA).

Hamuwezi kuua watu alafu bado mnajitapa na kujitoa ufahamu , Tunaishi na Nyinyi, Tunajua mnapokwenda, Tunajua magari yenu, tunajua Familia zenu , Hauwezi kua Fisadi na mtumiaji vibaya wa Kodi za Watanzania, alafu ukazunguka Dar Es Salaam na Magari ya Kifahari, Ukiteka na Kuua watu ,ukitamba as if MUNGU HAYUPO..MUNGU YUPO NA ATAWAADHIBU TU, NO WAY, ATAWASHUGHULIKIA TU

Manabii wanaposema ,Madiwani na Wabunge wa CCM MSISHIRIKI DHAMBI , ni Ujumbe wa Onyo na Upendo ambao MUNGU anautumia ili mgeuke.

TANZANIA, HAIWEZI KURUDI KAMA ZAMANI, NI AMA WATANZANIA WASHINDE, AU MUENDELEEE KUTEKA NA KUUA.

Hamna nafasi ya Katikati

Asubuhi Njema
Kaka naona tunabadili lengo la maaandamano hatukuhasishana yawe maandamano ya amani Bali Tulihamasishana kuzuia uchaguzi kwa kuchoma moto vituo Vya kupiga kura, kuwatisha wapiga kura kuchoma moto nchi MANENO HAYO YALIKUWA YAKIJIRUDIA KILA HAMASA ZA MAANDAMANO ZILIPOKIWA ZIKIFANYIKA TUSIJISAHAULISHE HILO KAMA TUNATAKA KUJITIBU LAZIMA TUKUBALI KUNA SEHEM NA SISI TULIKOSEA
tumepoteza ndugu zetu wengi waliohusika na ambao hawajahusika mungu atupe moyo wa ujasiri wa Kuyashinda majaribu haya na turudi Tukiwa wamoja
 
Wanazungumzia fujo, vurugu mali wanakwepa kusema maandamano na vifo walivyosababisha ambavyo hakukua na ulazima wa kuwepo.

Kwa lugha fupi wanasema hivi

Msingeandamana tusingewaua.

Wanajificha hapo kwenye msingeandamana ambapo ndio wanaimba ngonjera za fujo, mali, vurugu, ila matendo waliyofanya wanafumbia macho, wangekua hawajafanya wangezungumza vizuri na kwa uwazi kabisa, ila kwa aibu na fedheha inabidi wajinafiki na kufumbia macho udhalimu wao.
 
Hivi ww huelewi mchongo🤣🤣🤣mwizi hua anamaindi sana wasanuaji yaaan wale wanao sanua ishu yaan wanaweza wakakuwinda na kukuua kisa tu umeharibu dili lao ... Akili kumkichwaaa
 
Mkuu wala usiogope, hakuna utawala umepiga kampeni kumuuza mgombea wake kama huyu wa sasa tena akiwa hana mpinzani!
Somo, propaganda hazisaidii kwasasa, jamii inaelewa nn kinachoendelea so wanajisumbua tu!.

Tv, redia, mabango nk nk vyooote vyake nchini lakini kura HEWA ml 32!
 
Back
Top Bottom