Senbe Noma
Member
- Sep 11, 2013
- 38
- 5
Jamani mimi binafsi nashindwa kabisa kukielewa chama changu cha Mapinduzi. Linapokuja suala la unga viongozi wangu wapendwa wanashindwa kabisa kusimama kidete. Mimi naumia mno maana nina mdogo wangu alikua amepata Div 1 Mzumbe lakini akajiingiza kwenye unga siku hizi ni teja mno(naandika hokum machozi yananitoka, mama amejitahidi kumpeleka rehab znz na kigamboni but akirudi tu anarudia hali ileile). katika hali ya kawaida baada ya suala hili kuongelewa bungeni nilitarajia CCM ingeandaa maandamano kama chama chetu kifanyavyo kunapokua kuna masuala ya KITAIFA. LAKINI WAPI!. CCM mkumbuke kuwa vijana wengi wanakihama chama chenu kutokana na CCM kutokutujali sisi vijana, kumbukeni tunaoathirika wengi ni vijana. NAPE PLEASE MY BRO DO SOMETHING, YES U CAN, BRO!
Orodha ya 'wazungu wa unga' ipo serikalini na ushahidi wote upo.
Wale akina dada waliokamatwa na madawa ya kulevya Afrika Kusini wameshataja 'mabosi' wao !!.
Lakini, mhhh !!
Labda Ritz anajua kinachoendelea...
Wenyewe wanasema wako busy kukijenga chama chao CCM, hayo maswala ya 'unga' hawaangalii...
Ni sawa Mamndenyi na chama ??
Jamani mimi binafsi nashindwa kabisa kukielewa chama changu cha Mapinduzi. Linapokuja suala la unga viongozi wangu wapendwa wanashindwa kabisa kusimama kidete. Mimi naumia mno maana nina mdogo wangu alikua amepata Div 1 Mzumbe lakini akajiingiza kwenye unga siku hizi ni teja mno(naandika hokum machozi yananitoka, mama amejitahidi kumpeleka rehab znz na kigamboni but akirudi tu anarudia hali ileile). katika hali ya kawaida baada ya suala hili kuongelewa bungeni nilitarajia CCM ingeandaa maandamano kama chama chetu kifanyavyo kunapokua kuna masuala ya KITAIFA. LAKINI WAPI!. CCM mkumbuke kuwa vijana wengi wanakihama chama chenu kutokana na CCM kutokutujali sisi vijana, kumbukeni tunaoathirika wengi ni vijana. NAPE PLEASE MY BRO DO SOMETHING, YES U CAN, BRO!
Jamani mimi binafsi nashindwa kabisa kukielewa chama changu cha Mapinduzi. Linapokuja suala la unga viongozi wangu wapendwa wanashindwa kabisa kusimama kidete. Mimi naumia mno maana nina mdogo wangu alikua amepata Div 1 Mzumbe lakini akajiingiza kwenye unga siku hizi ni teja mno(naandika hokum machozi yananitoka, mama amejitahidi kumpeleka rehab znz na kigamboni but akirudi tu anarudia hali ileile). katika hali ya kawaida baada ya suala hili kuongelewa bungeni nilitarajia CCM ingeandaa maandamano kama chama chetu kifanyavyo kunapokua kuna masuala ya KITAIFA. LAKINI WAPI!. CCM mkumbuke kuwa vijana wengi wanakihama chama chenu kutokana na CCM kutokutujali sisi vijana, kumbukeni tunaoathirika wengi ni vijana. NAPE PLEASE MY BRO DO SOMETHING, YES U CAN, BRO!
Kwahiyo ina maana vita dhidi ya ngada imeshindikana tz??????????????????????
Na ile ya kwako unayofanya inamkono wa viongozi tena ya kwako ndiyo ya ajabu zaidi.vumilia hela ya kampeni ikishajaa,tutasitisha hii business.
hili swala hata bwana NAPE analielewa vema ndio maana yupo kimya!
=============~~~~~~~~
kwa taarifa yako hapa Tanzania hakuna biashara halali au haramu ambayo haina mkono wa hao vigogo wa CCM!
Jamani mimi binafsi nashindwa kabisa kukielewa chama changu cha Mapinduzi. Linapokuja suala la unga viongozi wangu wapendwa wanashindwa kabisa kusimama kidete. Mimi naumia mno maana nina mdogo wangu alikua amepata Div 1 Mzumbe lakini akajiingiza kwenye unga siku hizi ni teja mno(naandika hokum machozi yananitoka, mama amejitahidi kumpeleka rehab znz na kigamboni but akirudi tu anarudia hali ileile). katika hali ya kawaida baada ya suala hili kuongelewa bungeni nilitarajia CCM ingeandaa maandamano kama chama chetu kifanyavyo kunapokua kuna masuala ya KITAIFA. LAKINI WAPI!. CCM mkumbuke kuwa vijana wengi wanakihama chama chenu kutokana na CCM kutokutujali sisi vijana, kumbukeni tunaoathirika wengi ni vijana. NAPE PLEASE MY BRO DO SOMETHING, YES U CAN, BRO!
Ni Abunuwasi tu ndie aliwahi kukata tawi alilokalia