Mkuu
Zillion , hili ni swali la msingi sana, na kwa bahati nzuri, baadhi yetu tuliisha jiuliza hili swali, na majibu tunayo!, kabla sijakupa majibu yangu na matokeo ya utafiti wangu, nina kaswali kadogo tuu kwako, swali lenyewe ni tukiipumzisha CCM, kuna nani wa kumpa?.
P