Kwanini Catherine Kahabi hajateuliwa ubunge?

Kwanini Catherine Kahabi hajateuliwa ubunge?

DIVISHENI FOO

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
2,202
Reaction score
4,739
Yule dada machachari mwenye dishi lililochangamka kwani hajateuliwa kugombea ubunge?

Sifa zote anazo, ni mpingaji mzuri wa dhambi ya ushoga na usagaji, anafaa kuwa hata Rais.

Babu yake mwakyembe anapeta tu, nasikia kawa sijui Mkurugenzi wa nini. Natamani na Catherine naye akumbukwe.

Amefungua kiji-account chake facebook anafoka haswaa, anakemea dhambi mpaka amedata.

Na lile lemba lake vile anavyofoka, kuna siku atakuja kung'ata watu na meno. Hawa ndio mashujaa tunaowataka katika Tanganyika.

Tunaomba ateuliwe kuwa Mbunge ili azidishe mapambano dhidi ya matumizi ya chemba chafu.
 
huyu ndo yule alikuwa amejiandika jina la mwenzie mkononi kusifu lazi za mikono ya mwanamke mwenzie au nimemsahau? mambo ni mengi
 
Back
Top Bottom