KERO Kwanini Barabara ya NSSF Mbezi Beach–Makonde imeendelea kuwa mbovu kwa muda mrefu?

KERO Kwanini Barabara ya NSSF Mbezi Beach–Makonde imeendelea kuwa mbovu kwa muda mrefu?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Barabara ya NSSF Road, Mbezi Beach, Makonde imekuwa mbovu sana kwa muda mrefu sana.

Hivi NSSF wenyewe, kwa barabara yenye jina lao kabisa, hawawezi hata wakaisambaza level? Hata kwa zege tu?
photo_2025-08-20_09-21-11.jpg

photo_2025-08-20_09-21-13.jpg
 
Back
Top Bottom