Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,488
Na hawaku uawa as a suprise, Yesu aliwaambia hilo mbona ulipaswa kufahamu hili kama kwel wewe unasoma maandika.Unajua na sisi tunasoma hayo maandiko!!! wale wanafunzi wa Yesu walikuwa watakatifu lakini kwa taarifa yako wote waliuwawa kwa namna tofauti na utakatifu wao, mwanafunzi pekee aliekufa kifo cha kawaida ni mtume Yohana pale Uturuki, kwahiyo utakatifu wako HAUKUZUII kukutwa na mabaya , Swali langu hao watakatifu wa Lebanon maombi yao Mungu hawasikii ?
Kuna watu ni PLAN + IMPLEMENTATION =RESULT , mambo yanaendaMaombi huenda na vitendo. Bila kuwa na ari ya kutaka kukamilisha jambo huwezi toboa.
Yani ni sawa na uwe na software bila kuwa na hardwares. Huwezi kufanikisha chochote.
Maombi + vitendo = Matokeo
Ahahahahj..u cant discern sasa kwamba hiyo ni God's wisdom on how to tacle issues.Nikivamia nitakuta watu ndio wanalinda watanikamata wao sio maombi yako 😂😂
Hapana ni binadamu baada ya kuona ndani kuna mali anatafuta mlango anafunga kisha anamlipa MTU PESA alinde mali za Mungu 😂😂😂Ahajajaj..u cant discern sasa kwamba hiyo ni God's wisdom on how to tacle issues.
Hawakuanza leo, yoote haya yameanza kufanyika tika karne ya kwanza.1.KANISA
2.MSIKITI
3.HEKALU
Haya majengo yote watu wanakwenda kumuabudu Mungu LAKINI yote haya walinzi ni WATU
Agano la kale kulikua na watu wanaitwa ma BAWABU(kitabu cha wafalme na mambo ya nyakati, ezra, nehemia).Hapana ni binadamu baada ya kuona ndani kuna mali anatafuta mlango anafunga kisha anamlipa MTU PESA alinde mali za Mungu 😂😂😂
Plan + implementation-God = Catastrophic failure and loss of life.Kuna watu ni PLAN + IMPLEMENTATION =RESULT , mambo yanaenda
Naweka kambiBado maombi yana nguvu. Puuza wanaopuuza maombi.
Maombi Yanaweza kugeuza maamuzi ya Serikali na viongozi wakubwa wa nchi. Mfalme wa Iran Koreshi, Altashasta na Dario walijikuta wanaendeshwa na maombi ya wakina Danieli, Nehemia, Ezra licha ya ukatili wao.
Maombi yalimtoa Petro Gerezani.
Maombi yalizuia mvua miaka 3, na kuileta kwa neno la Eliya.
Maombi yalimfanya mtu mmoja Ibrahim aishi kama jeshi, na hakuna aliyemuweza.
Maombi yalimfanya Yakobo apite katikati ya maadui zake bila kuguswa.
Maombi yanaangusha ngome
Maombi yana nguvu ya kupasua bahari.
Maombi maombi maombi
Usipuuze maombi.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Mungu ni Mungu wa utaratibu.Mambo ya Mungu ni kanuni.
Point yako ni nini.1.KANISA
2.MSIKITI
3.HEKALU
Haya majengo yote watu wanakwenda kumuabudu Mungu LAKINI yote haya walinzi ni WATU
Maandiko yanasema kila goti litapigwa na kukiri.Mungu ni Mungu wa utaratibu.
Ndio maana anapokuambia na kukuoa utaratibu wa kufuata, yeye si dhalimu wa kukuagiza kitu ambacho yeye haonyeshi mfano wa kutenda.
Ndio maana mbele za Mungj hakuna muovu ambaye atakua na la kujitetea whether this or that..!
ni kigezo gani unafikir una wishi kukiona ili ujue kuwa tawala hii imelondolewa na Munngu na hii imeondolewa na wanadamu?Ukiacha story za kwenye biblia ni tawala gani iliwahi kubadilishwa kwa maombi?
Amani ni zao la binadamu kupambana na matatizo yakePoint yako ni nini.
Hizi akili za kale mzee, watu wana plan + implementation =result kubwa sana na hawana muda na MunguPlan + implementation-God = Catastrophic failure and loss of life.
Kuna siri huwez kuambiwa kwenye harakat za mtu kaka. Ndio maana wewe mwenyewe una plan na una implementation daily ila hutakuja toboa kama wao.Hizi akili za kale mzee, watu wana plan + implementation =result kubwa sana na hawana muda na Mungu
Hata Agano la kale linathibitisha kuwa Bawabu ndio alikuwa kama mlinzi wa mlango, huyu Bawabu ni binadamu, kwahiyo tuko pale pale, binadamu ndio alikuwa analinda na kuangalia mali za Mungu hapo hekaluni/kanisani, hakuna cha maombi lazima binadamu asimamie mambo yakeAgano la kale kulikua na watu wanaitwa ma BAWABU(kitabu cha wafalme na mambo ya nyakati, ezra, nehemia).
Je unajua hawa walikua ni watu gani na walikua na kazi gani??
Find your time to study learn na researc the bible. Utafahamu kuwa hakuna kioya umeongea hapa.
Na bado Mungu alikua kati kati yao.
Eeh inafanya kazi haraka kukiwa na implementation.Kuna watu ni PLAN + IMPLEMENTATION =RESULT , mambo yanaenda
Wachina wamejenga kisiwa ndani ya bahari, watu wanakwenda mwezini na kurudi tunawaona, wewe unaleta story za hekalu, hizo zote ni harakati za binadamu na anaziendea kwa mikakati sio maombiHawakuanza leo, yoote haya yameanza kufanyika tika karne ya kwanza.
Kama kwel wewe ni mkristo, soma kitabu cha Nehemia, ziko sura chache tu 15. Uone jinsi ujenzi wa hekalu la Yerusalem namna lilivyojemgwa kwa mara ya pili.
Mkono mmoja silaha mkono wa pili wanajenga na bado Mungu yupo kat yao.
Hekima ya Mungu hutupa namna ya kufanya jambo.Hata haya mambo ya kawaida kabisaa sio kila kitu ni kiroho
Ndio zipo siri na siri ndio utajiri, hakuna ulazima iwe maombi inaweza kuwa anauza madawa ya kulevya, anaweza kuwa akili nyingi kichwani, anaweza kuwa kakopa benki mtaji n.kKuna siri huwez kuambiwa kwenye harakat za mtu kaka. Ndio maana wewe mwenyewe una plan na una implementation daily ila hutakuja toboa kama wao.
sawaEeh inafanya kazi haraka kukiwa na implementation.