Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,575
- 12,368
Ni mara chache sana inatokea katika wanandoa kuwa mmoja ana VVU na mwingine hana. Ila kama ikitokea, Mara nyingi ni kuwa mwanamke anao na Mwanamme hana. (Ila mara nyingi kama Mwanamme ana VVU mwanamke atapata).
Maambukizi ya VVU hutokea/ huongezeka kwa sababu ya michubuko kwenye via vya uzazi wakati wa tendo.
Ila Maambukizi hupungua
1. Maandalizi mazuri wakati wa tendo
2. Kinga CD4 ya yule aliyeathirika kuwa juu
3. "Viral Load" kuwa chini
NK
Ila kwasababu michubuko ndio "key fact"
Kwahiyo kama una kibamia ni sahihi kusema inapunguza "chance" ya michubuko na kupelekea kutopata kirahisi VVU ama Vipi ?!!!! Maana kama Una Mashine kama ya "Mudy"
sidhani kama utaepuka michubuko ila kama Una "Le Kibamiaz u know" I naweza kuwa ndio ponea yako.
Mifano hai ya visa 3 vilivyotea Bongo:
Wa kwanza Wameishi miaka 15, wa pili Wameishi miaka 8 na wa tatu Wameishi miaka 2 na kuzaa watoto ila Wanaume wote hawana maambukizi
Link hii chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Maambukizi ya VVU hutokea/ huongezeka kwa sababu ya michubuko kwenye via vya uzazi wakati wa tendo.
Ila Maambukizi hupungua
1. Maandalizi mazuri wakati wa tendo
2. Kinga CD4 ya yule aliyeathirika kuwa juu
3. "Viral Load" kuwa chini
NK
Ila kwasababu michubuko ndio "key fact"
Kwahiyo kama una kibamia ni sahihi kusema inapunguza "chance" ya michubuko na kupelekea kutopata kirahisi VVU ama Vipi ?!!!! Maana kama Una Mashine kama ya "Mudy"
sidhani kama utaepuka michubuko ila kama Una "Le Kibamiaz u know" I naweza kuwa ndio ponea yako.Mifano hai ya visa 3 vilivyotea Bongo:
Wa kwanza Wameishi miaka 15, wa pili Wameishi miaka 8 na wa tatu Wameishi miaka 2 na kuzaa watoto ila Wanaume wote hawana maambukizi
Link hii chini
Sent using Jamii Forums mobile app