Kwanini baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu wanapinga matamko ya TEC na kuunga mkono Serikali?

mhuri25

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Posts
3,257
Reaction score
4,466
Wakuu kwanza naanza kwa kudeclare kweli mimi ni mkristu na ninaabaudu na kusadiki kanisa Takatifu katoliki la Mitume

Toka uchaguzo umeanza umeisha yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi wote tumeona na kwa namna moja ama nyingine tunaona tumeguswa kila namna hata kama sio ya moja kwa moja!!

Hivi hili suala limekuwa linanitatiza sana hasa karibia katia Platforms zote huko mitandaoni na baadhi ya Watu ninaokutana nao mtaan

Ikumbukwe eneo ninaloishi kuna jamii kubwa sana ya hawa ndugu zetu wa Ijumaa.

Kwanini hawa watu wamekuwa wakilaani sana maandamano kupinga kwa nguvu zote, kukosoa na kupinga matamko yote yanayotolewa na TEC baadhi ya Taasisi za kikristu na Asasi mbalimbali hasa pale wanapokuwa wakipinga na kuikosoa GvT, hawa watu wamwkuwa wakichukua nafasi ya kuilinda na kuitetea GvT!?

Mfano mwepesi tuliona juzi hapa TEC walitoa waraka wao ila walijitokeza Masheikh, Maostaadhi, Maimamu na Maamuma zaidi ya 565 kupinga kwa nguvu zote huo waraka!?

Leo ukiingia mitandao ya kijamii kusoma kusikiliza ama kutizama maoni binafsi ya Fr Kitima wanaokosoa kupinga na kuja na hoja kinzani kwa maoni yake wengi kama sio wote ni jamii ya ijumaa kipi kipo nyuma ya hili
 
TEC hawana uadilifu wanazungumzia maandamano kama yalikuwa ya Amani wakati yalikuwa na malengo ovu mengi pamoja na kufanyika uhuni wakutisha kutoka kwa Waandamanaji.

TEC makosa ya Waandamanaji wanayapuuza.

Masheik wanatumia busara huwezi kwenye moto unachochea Kuni moto uwake madhara yake ni makubwa mno.

Polisi wametumia nguvu kubwa halina ubishi na serikali imesema inafanya uchunguzi hapo haina haja ya kuchochea moto tena wakati hata taarifa Yao ya uchunguzi bado haijatoka
 
Busara ni kukata watu vichwa ?

Hivi wapalestina wanapaswa kupambana na uovu wa Israel na kudai haki ya taifa lao au wakae kimya na kuunga udhalimu wa Israel unaotendwa dhidi yao ?
 
Kukatwa kichwa kivipi fafanua ?

Mimi muumini wa njia inayotumika na sio kupigana kihuni , WaPalestina na watu wengine wote wanastahili kudai haki yao wanapofanyiwa dhuluma ila ;

1. Kwenye kudai haki yako usivunje haki ya mwengine
2. Kwenye kudai haki yako usimdhulumu mwengine
3. Kwenye kudai haki yako usidai kihuni kwa Fujo na vurugu. Tukisema kila mtu alinyimwa haki yake afanye maandamano na achome miundombinu patakalika ? Na Waislamu wakinyimwa haki zao waingie front na mapanga kudai kinguvu patakalika ?

Unajua kwa Nini nipo against Hamas since day one wakati ni WaPalestina wenzangu na wananyanyaswa ? Sababu ni Moja njia wanayotumia kudai haki wanadhulumu haki za wengine kwa kuua na kufanya mauaji na kufanya uharibifu.
IMG_20251202_055937.jpg
 
Wakuu kwanza naanza kwa kudeclare kweli mimi ni mkristu na ninaabaudu na kusadiki kanisa Takatifu katoliki la Mitume

Toka uchaguzo umeanza umeisha yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi wote tumeona na kwa namna moja ama nyingine tunaona tumeguswa kila namna hata kama sio ya moja kwa moja!!

Hivi hili suala limekuwa linanitatiza sana hasa karibia katia Platforms zote huko mitandaoni na baadhi ya Watu ninaokutana nao mtaan

Ikumbukwe eneo ninaloishi kuna jamii kubwa sana ya hawa ndugu zetu wa Ijumaa.

Kwanini hawa watu wamekuwa wakilaani sana maandamano kupinga kwa nguvu zote, kukosoa na kupinga matamko yote yanayotolewa na TEC baadhi ya Taasisi za kikristu na Asasi mbalimbali hasa pale wanapokuwa wakipinga na kuikosoa GvT, hawa watu wamwkuwa wakichukua nafasi ya kuilinda na kuitetea GvT!?

Mfano mwepesi tuliona juzi hapa TEC walitoa waraka wao ila walijitokeza Masheikh, Maostaadhi, Maimamu na Maamuma zaidi ya 565 kupinga kwa nguvu zote huo waraka!?

Leo ukiingia mitandao ya kijamii kusoma kusikiliza ama kutizama maoni binafsi ya Fr Kitima wanaokosoa kupinga na kuja na hoja kinzani kwa maoni yake wengi kama sio wote ni jamii ya ijumaa kipi kipo nyuma ya hili
Ni kwa sababu kuu tano.
Mosi, uchawa,
Pili, uchumia tumbo,
Tatu, uzwazwa,
Nne, unafiki,
Na mwisho, wivu wa kike mbali na ushetani utokanao na imani yao iliiyowajengea kutojiamini na kupenda kujieliimisha ukiachia mbali ubaguzi baada ya kubaguliwa sana na mabwana zao wa kiarabu.
 
TEC hawana uadilifu wanazungumzia maandamano kama yalikuwa ya Amani wakati yalikuwa na malengo ovu mengi pamoja na kufanyika uhuni wakutisha kutoka kwa Waandamanaji.

TEC makosa ya Waandamanaji wanayapuuza.

Masheik wanatumia busara huwezi kwenye moto unachochea Kuni moto uwake madhara yake ni makubwa mno.

Polisi wametumia nguvu kubwa halina ubishi na serikali imesema inafanya uchunguzi hapo haina haja ya kuchochea moto tena wakati hata taarifa Yao ya uchunguzi bado haijatoka
Kuna kitu nahisi mashehe hawataki kukiaddress na hapa ndipo kila mwenye uelewa anaona mashehe wana changamoto za kuendeshwa na hisia.

Kwenye ishu yoyote ikatokea uhai umepotea nafikiri ni busara kuaddress swala la uhai kuliko kufikiria pikipiki. Mashehe focus kubwa imekua kwa pikipiki.

Mashehe ama kwa makusudi au kwa kutokua na uelewa wakasema TEC hawajawahi kukosoa marais wakristo. Kwakua siku hizi mitandao imesambaa ukigoogle unakuta matamko ya kumkosoa Mkapa na Magufuli.

Mashehe wanaona ni sawa amani ikitawala hata kama ni kwa njia ya kukata vichwa na kukandamiza watu. Kikubwa amani inaonekana ipo, ndugu yako wa karibu akinyimwa haki ya kuishi mashehe wanaona hakuna tatizo ukizika ukarudi nyumbani kulia kimya kimya.

BAhati mbaya siku hizi uasi umejaa, watu hawaguswi na dini wanaguswa na wanayoyaona. Hapa ndiyo changamoto ipo, kwakua hata kama TEC wangewaambia vijana wasiandamane wangetokea ambao wangecomment "Was3ng3 tuacheni"
 
Kukatwa kichwa kivipi fafanua ?

Mimi muumini wa njia inayotumika na sio kupigana kihuni , WaPalestina na watu wengine wote wanastahili kudai haki yao wanapofanyiwa dhuluma ila ;

1. Kwenye kudai haki yako usivunje haki ya mwengine
2. Kwenye kudai haki yako usimdhulumu mwengine
3. Kwenye kudai haki yako usidai kihuni kwa Fujo na vurugu. Tukisema kila mtu alinyimwa haki yake afanye maandamano na achome miundombinu patakalika ? Na Waislamu wakinyimwa haki zao waingie front na mapanga kudai kinguvu patakalika ?

Unajua kwa Nini nipo against Hamas since day one wakati ni WaPalestina wenzangu na wananyanyaswa ? Sababu ni Moja njia wanayotumia kudai haki wanadhulumu haki za wengine kwa kuua na kufanya mauaji na kufanya uharibifu.View attachment 3510267
Means unazopendekeza zinafanya kazi vizuri kama wote mna lengo moja la kufikia muafaka.

Hapa Tanzania kuna watu walionekana kupambania haki kwa njia ya kuridhiana, Lipumba na Mbowe, na hakuna aliyefanikiwa. Badala yake yaliyosababisha watafute maridhiano hayakuwahi kukoma.

Huwezi rudia suluhu ileile, kwa tatizo lilelile ukatarajia matokeo tofauti.
 
Kwa hiyo unaona Bora njia ya machafuko tuwe kama Sudani au Somalia ?

Mimi nilikuwepo kwenye grupu kubwa la maandamano nilivyoona yanapangwa mule ni mazito yaani Fujo na uharibifu wa Mali za Umma , sasa hizo ndio njia mbadala ?
 
Kama unauliza maoni yangu binafsi ni kwamba kwenye society formation violence haikwepeki inapotokea kunakua hakuna usawa. Kwahiyo hili siyo swala la maoni ya mtu mmoja mmoja ni swala la kwamba violence itatokea tu.

MImi sikuepo kwenye maandamano lakini hata pattern ya movements na uharibifu uliofanyika unaonyesha ni mipango. Na siyo mipango iliyopangwa asubuhi hiyo, ni ya muda. Naona umesema uharibifu wa mali za umma pekee lakini waliharibu hadi mali za watu binafsi.

And no, hiyo siyo njia. Serikali ingeweza kuyazuia haya easily pale mwanzo na hata sasa ila naona wanajiandaa kwa kurudia yaleyale ya mwezi November
 
Mimi naunga mkono mapambano dhidi ya haki. Hata wakati wa utawala wa Magufuli, nilimpinga waziwazi humu kwa tabia yake udikteta uchwara dhidi ya wakosoaji wake! Lakini pia kwa kuwanyima watumishi wa umna stahiki zao kwa kisingizio cha kununua ndege!

Wakati namkosoa, sikuangalia ukatoliki wake! Ila niliangalia madhaifu yake. Vivyo hivyo kwa Rais wa sasa! Ninamkosoa kwa sababu ya tabia yake ya kukandamiza vyama vya upinzani (na hasa CHADEMA), kuruhusu matukio ya utekaji na mauaji kushamiri kwenye jamii yetu! Kurudia makosa ya mtangulizi wake kwenye suala zima la kufanya dhuluma ya wazi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024, na huu wa 2025!

Kwa hiyo kwenye hili nipo upande wa wapigania haki na wataka mabadiliko. Na siangalii dini ya mtu au jinsia yake! CCM ndiyo kansa kwenye hii nchi. Hivyo ili nchi isonge mbele, ni lazima ccm iondolewe madarakani kwa namna yoyote ile ikiwemo ya kutumia nguvu ya umma.
 
Masheikh wao hawaoni chochote cha kukosoa serikali wala kuishauri serikali ila wao wanapambana na ukosoaji uliyoelekezwa kwa serikali hasa matamko ya TEC, sijaelewa maana yake hasa ni nini?
 
Kukatwa kichwa kivipi fafanua ?

Mimi muumini wa njia inayotumika na sio kupigana kihuni , WaPalestina na watu wengine wote wanastahili kudai haki yao wanapofanyiwa dhuluma ila ;

1. Kwenye kudai haki yako usivunje haki ya mwengine
2. Kwenye kudai haki yako usimdhulumu mwengine
3. Kwenye kudai haki yako usidai kihuni kwa Fujo na vurugu. Tukisema kila mtu alinyimwa haki yake afanye maandamano na achome miundombinu patakalika ? Na Waislamu wakinyimwa haki zao waingie front na mapanga kudai kinguvu patakalika ?

Unajua kwa Nini nipo against Hamas since day one wakati ni WaPalestina wenzangu na wananyanyaswa ? Sababu ni Moja njia wanayotumia kudai haki wanadhulumu haki za wengine kwa kuua na kufanya mauaji na kufanya uharibifu.View attachment 3510267
Kwahiyo wapalestina wanakosea wanapodai haki zao kwa kuvunja haki za wengine
 
Back
Top Bottom