Kwanini baadhi ya vijana mnateseka sana na Makonda? Mungu hapendi ndio maana anapaa na ataendelea kupaa zaidi

Mtu anayechukiwa na watu siku zote yeye ndo ana chuki,tangu awe mkuu wa mkoa kwa dharau zake na matusi,kukomoa watu na ubabe nani ampende?marekani wenyewe amepigwa ban maana wanajua hafai sembuse sisi tunayemwona
Pia wewe kunawatu wankuchukia ila kwa kuwa wewe sio public figure wanaishia kusematu wakiwa 2 ama 3 bilakuja mitandaoni.
Note, kuchukiwa au kupendwa na wanadamu ni utashi wa kibinadamu tu kulibgana na interest.
Ila Mungu akipanga atakalo litafanyika bila wewe na mimi kupenda ama kutokupenda.
 
Sikubaliani na wewe ,ila ninakubali yaishe ,ila dogo hakuna alichokosea ,kila kitu kimepangwa kikapangika
 
wenye akili TUNAJUA kwamba Jiwe yupo nyuma ya mpango wa Bashite kutoka kuwa RC na kuwa mbunge...kwa vyovyote vile atawezeshwa kuwa mbunge tupende tusipende!.
Huyu ni msiri wa matendo yoote maovu ya wanaompinga/waliompinga Jiwe!!!.
 

Sasa Paul Makonda kama kumbe ulikuwa unataka tuijue hii ID yako nyingine unayoitumia hapa Jamvini kwanini husemi hadi unasumbuka tu hivi?
 
Riziki ya mtu inatoka kwa Mwenyezi Mungu,na kitokacho kwa Mungu hakuna wakukizuwia,
When one door closes another one opens.
Si kweli kuwa riziki ya mtu hutoka kwa MUNGU MWENYEZI.
MUNGU ni muumbaji na mwanademokrasia. Alipoumba binadamu,aliumba kwa mfano wake,maana yake nasi binadamu tu waumbaji. Mungu hana upendeleo wa kusema huyu ampe riziki na yule amnyime. Hakuna hilo.
 
Sikubaliani na wewe ,ila ninakubali yaishe ,ila dogo hakuna alichokosea ,kila kitu kimepangwa kikapangika
Sawa muzee! Lakini kama mambo yanapangwa kwa mpangilio huu basi ni aibu kwa mabosi wake sio yeye

Your browser is not able to display this video.
 
Yupo anapakatwa na mkuu kwanini asing'ae ila kwa juhudi zake binafsi hana kitu. Kwanza je, alishamaliza masomo yake kule MUCCOBs?
 
Mbegu ya chuki na husuda imepandwa na chama chako cha mapuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…