Kwanini baadhi ya vijana mnateseka sana na Makonda? Mungu hapendi ndio maana anapaa na ataendelea kupaa zaidi

Kwanza nikisoma comments nyingi za vijana jukwaani wengi wamejawa chuki na husuda dhidi ya kijana Makonda .

Na yote hayo yanatokana na wivu wa mafanikio yake.lazima mfahamu kwamba kama kuna RC aliepafomu kwa ubora jijini dar kwa miongo kadhaa ya tawala zilizopita ni tawala ya kijana Makonda ,hili lipo wazi, ispokuwa kwa wale walioapa kumpinga mpaka yesu Messiah atakaporudi

Niwahakikishie ya kwamba mpaka sasa Makonda hajapoteza chochote katika u RC Dar ,sana anelekea kaanan kwa uwezo wa mungu na huko mbeleni mtasononeka sana ,kwani kila mkizomea yeye hupanda ngazi zaidi

Kuhusu mpango wa yeye kugombea ubunge Kigamboni ni ndoto yake na hajakurupuka ,anamaandalizi ya muda mrefu,tulieni,ndio maana wabobezi wa mambo wapo kimya na wanajua nini kitafuata baadae,wale na mimi wa kukurupuka tuendelee kukurupuka

Kuna Alexander Mnyeti pia huyu mnafikiri pia kaacha u RC kwa tamaa," kalaghabaho"

Kithibitisho ni leo mkuu wakati anaongea baada ya kuapisha ,kaongea very technically, akijibu baadhi ya upuuzi wa mitandaoni .

Ukweli ni kwamba rohoni kwa mtu ni mbali sana ,tutakao waamini wanasiasa tuwaamini tu ,ila upande wangu lazima niwe na kiasi cha kuwaamini ,za kuambiwa changanya na zako.

Mwisho kabisa kama mungu atatupa uhai siku za usoni Makonda atang'aa sana ,hii mishale mnayorushia nyuma ya keyboards itakuja warudia wenyewe,labda kifo kitenganishe ndoto zetu na zake pia.

Kwa taarifa yako hata Iddy Amin alikuwa ni rais, hayo ni mafanikio makubwa sana kama unachotazama kuwa kupanda cheo ni mafanikio.
 
Kuchukiwa na kikundi flani cha watu flani wasiopenda maendeleo yako ni kawaida ,hata yesu alichukiwa sana wakati anahubiri neno jema ,na haizuwii mafanikio

Yesu hajawahi kuwa kiongozi wa kundi la watu wasiojulikana. Acha kumchafua Yesu kwa kwa kumtolea mifano na huyo baradhuli..
 
Si kweli kuwa riziki ya mtu hutoka kwa MUNGU MWENYEZI.
MUNGU ni muumbaji na mwanademokrasia. Alipoumba binadamu,aliumba kwa mfano wake,maana yake nasi binadamu tu waumbaji. Mungu hana upendeleo wa kusema huyu ampe riziki na yule amnyime. Hakuna hilo.
Endelea kuamini unachokiamini ila usinilazimishe na mimi kuamini unachokiamini wewe.
 
Kwanza nikisoma comments nyingi za vijana jukwaani wengi wamejawa chuki na husuda dhidi ya kijana Makonda .

Na yote hayo yanatokana na wivu wa mafanikio yake.lazima mfahamu kwamba kama kuna RC aliepafomu kwa ubora jijini dar kwa miongo kadhaa ya tawala zilizopita ni tawala ya kijana Makonda ,hili lipo wazi, ispokuwa kwa wale walioapa kumpinga mpaka yesu Messiah atakaporudi

Niwahakikishie ya kwamba mpaka sasa Makonda hajapoteza chochote katika u RC Dar ,sana anelekea kaanan kwa uwezo wa mungu na huko mbeleni mtasononeka sana ,kwani kila mkizomea yeye hupanda ngazi zaidi

Kuhusu mpango wa yeye kugombea ubunge Kigamboni ni ndoto yake na hajakurupuka ,anamaandalizi ya muda mrefu,tulieni,ndio maana wabobezi wa mambo wapo kimya na wanajua nini kitafuata baadae,wale na mimi wa kukurupuka tuendelee kukurupuka

Kuna Alexander Mnyeti pia huyu mnafikiri pia kaacha u RC kwa tamaa," kalaghabaho"

Kithibitisho ni leo mkuu wakati anaongea baada ya kuapisha ,kaongea very technically, akijibu baadhi ya upuuzi wa mitandaoni .

Ukweli ni kwamba rohoni kwa mtu ni mbali sana ,tutakao waamini wanasiasa tuwaamini tu ,ila upande wangu lazima niwe na kiasi cha kuwaamini ,za kuambiwa changanya na zako.

Mwisho kabisa kama mungu atatupa uhai siku za usoni Makonda atang'aa sana ,hii mishale mnayorushia nyuma ya keyboards itakuja warudia wenyewe,labda kifo kitenganishe ndoto zetu na zake pia.
Upo sawa LAKINI amefeli KWENYE ukusanyaji Takataka kila kona uchafu umejaa kasoro seheme za makazi ya viongozi
 
Mwanaume mwenye akili timamu hawez kuwa mropokaji kama makonda, ana tabia za kike ndio mana wanaccm wenyewe wamemtupa kudadeki, labda apewe hivyo vyeo manake yeye kama yeye hawez kupambania kombe , hakuna kitu hata kimoja makonda aliwah fanya kikawa successfull yeye mpaka abustiwe ndio anaanza kuropoka...
 
Kwanza nikisoma comments nyingi za vijana jukwaani wengi wamejawa chuki na husuda dhidi ya kijana Makonda .

Na yote hayo yanatokana na wivu wa mafanikio yake.lazima mfahamu kwamba kama kuna RC aliepafomu kwa ubora jijini dar kwa miongo kadhaa ya tawala zilizopita ni tawala ya kijana Makonda ,hili lipo wazi, ispokuwa kwa wale walioapa kumpinga mpaka yesu Messiah atakaporudi

Niwahakikishie ya kwamba mpaka sasa Makonda hajapoteza chochote katika u RC Dar ,sana anelekea kaanan kwa uwezo wa mungu na huko mbeleni mtasononeka sana ,kwani kila mkizomea yeye hupanda ngazi zaidi

Kuhusu mpango wa yeye kugombea ubunge Kigamboni ni ndoto yake na hajakurupuka ,anamaandalizi ya muda mrefu,tulieni,ndio maana wabobezi wa mambo wapo kimya na wanajua nini kitafuata baadae,wale na mimi wa kukurupuka tuendelee kukurupuka

Kuna Alexander Mnyeti pia huyu mnafikiri pia kaacha u RC kwa tamaa," kalaghabaho"

Kithibitisho ni leo mkuu wakati anaongea baada ya kuapisha ,kaongea very technically, akijibu baadhi ya upuuzi wa mitandaoni .

Ukweli ni kwamba rohoni kwa mtu ni mbali sana ,tutakao waamini wanasiasa tuwaamini tu ,ila upande wangu lazima niwe na kiasi cha kuwaamini ,za kuambiwa changanya na zako.

Mwisho kabisa kama mungu atatupa uhai siku za usoni Makonda atang'aa sana ,hii mishale mnayorushia nyuma ya keyboards itakuja warudia wenyewe,labda kifo kitenganishe ndoto zetu na zake pia.
Nipe kimoja alichoweza fanikisha huyu boss wako, kwann wasiwe na chuki na Jafo au Mtaka au Mavunde,jiulize
 
Mission Planned

Asanteni Kigamboni kwa kutuwakilisha vema
October piga chini ccm ila kwa heshima ya wanakigamboni kuleta nuru mpya nchini upinzani msisimamishe mgombea kigamboni mpeni Ndungulile zawadi ya ubunge.
Ukimuangusha makonda umemuangusha yohana, baba hawezi tenda bila mwana.
 
Kwanza nikisoma comments nyingi za vijana jukwaani wengi wamejawa chuki na husuda dhidi ya kijana Makonda .

Na yote hayo yanatokana na wivu wa mafanikio yake.lazima mfahamu kwamba kama kuna RC aliepafomu kwa ubora jijini dar kwa miongo kadhaa ya tawala zilizopita ni tawala ya kijana Makonda ,hili lipo wazi, ispokuwa kwa wale walioapa kumpinga mpaka yesu Messiah atakaporudi

Niwahakikishie ya kwamba mpaka sasa Makonda hajapoteza chochote katika u RC Dar ,sana anelekea kaanan kwa uwezo wa mungu na huko mbeleni mtasononeka sana ,kwani kila mkizomea yeye hupanda ngazi zaidi

Kuhusu mpango wa yeye kugombea ubunge Kigamboni ni ndoto yake na hajakurupuka ,anamaandalizi ya muda mrefu,tulieni,ndio maana wabobezi wa mambo wapo kimya na wanajua nini kitafuata baadae,wale na mimi wa kukurupuka tuendelee kukurupuka

Kuna Alexander Mnyeti pia huyu mnafikiri pia kaacha u RC kwa tamaa," kalaghabaho"

Kithibitisho ni leo mkuu wakati anaongea baada ya kuapisha ,kaongea very technically, akijibu baadhi ya upuuzi wa mitandaoni .

Ukweli ni kwamba rohoni kwa mtu ni mbali sana ,tutakao waamini wanasiasa tuwaamini tu ,ila upande wangu lazima niwe na kiasi cha kuwaamini ,za kuambiwa changanya na zako.

Mwisho kabisa kama mungu atatupa uhai siku za usoni Makonda atang'aa sana ,hii mishale mnayorushia nyuma ya keyboards itakuja warudia wenyewe,labda kifo kitenganishe ndoto zetu na zake pia.

Kwa kweli tumefurahi Sana tulikesha baa aende akawe rais wa wasafi.Hapa Sasa Hana mamlaka ya kumburuza mambosasa,TISS,DAS,na vyombo vyote hivyo tupo salama salmini kabisa.
 
Watu wa Kigamboni tumewapa banga....kazi yenu ni kukata kichwaaaa!

Uzuri hua hawatuangushi....

Kwanza anzieni kura za maoni,katwa kichwa!

Kwavile ni toto la mawe,litapitishwa makusudi,likaja kwa box la kura,Wakigamboni kateni kichwaaaa mazima!
Hawawezi mrudisha kule Jimbo litaenda upinzani.Ccm wakirudia makosa waliyofanya 2015 ya kuwachagulia wapiga kura wagombea waliowataka majimbo hayo yataenda upinzani lipo wazi Hilo.
 
Mleta mada umenisikitisha mara mbili.
1. Kwanini unaandika jina 'Mungu' kwa kuanza kwa herufi ndogo? Au unamaanisha miungu????? Kama unamaanisha Mungu - Yehova, ni sharti uanze kuliandika kwa herufi kubwa.

2. Huyo mtu unayemsema (Bashite) huwa hakubaliki ndani ya mioyo ya watu wengi, hii inaweza ikawa inasababishwa na tabia zake za kuwa mwenye kiburi, mwenye kujiinua, asiye na adabu, umbumbumbu kichwani, nk kumbuka, hakuna mtu anayefanya vizuri asipendwe!

JESUS IS LORD!
 
Hawawezi mrudisha kule Jimbo litaenda upinzani.Ccm wakirudia makosa waliyofanya 2015 ya kuwachagulia wapiga kura wagombea waliowataka majimbo hayo yataenda upinzani lipo wazi Hilo.
Screenshot 2020-07-02 at 14.27.45.png
 
Back
Top Bottom