Kwanini baadhi ya vijana mnateseka sana na Makonda? Mungu hapendi ndio maana anapaa na ataendelea kupaa zaidi

Mtu anayechukiwa na watu siku zote yeye ndo ana chuki,tangu awe mkuu wa mkoa kwa dharau zake na matusi,kukomoa watu na ubabe nani ampende?marekani wenyewe amepigwa ban maana wanajua hafai sembuse sisi tunayemwona
Pia wewe kunawatu wankuchukia ila kwa kuwa wewe sio public figure wanaishia kusematu wakiwa 2 ama 3 bilakuja mitandaoni.
Note, kuchukiwa au kupendwa na wanadamu ni utashi wa kibinadamu tu kulibgana na interest.
Ila Mungu akipanga atakalo litafanyika bila wewe na mimi kupenda ama kutokupenda.
 
Dah! Makonda ndio Bashite? Kama ndio huyo wacha wamuonyeshe kweli labda atajifunza na kurekebisha mapungufu yake...
Kutakuwa kazi nzito kumrekebisha. Kule kwenye kuvua dagaa ndio ilikuwa size yake
tapatalk_1594839313687.jpg
 
Ukimsikiliza RC wa Mbeya na aliyosema CDF Mabeyo utaona dhahiri wametumwa kumpa salamu Makonda kuwa amefanya ndivyo sivyo kwani angeacha kazi kwanza lakini kakiuka.
Magufuli hata kama anampenda kiasi gani Makonda, shimo kachimba mwenyewe na kujifukia kajifukia mwenyewe. Mnaidhani atang'ara mjiulize Mara mbili.
Sasa kazi wanayo wana ccm Kigamboni. Kura za maoni zikimwaga tuu, jina halitabebwa hivyo halirudi
Sikubaliani na wewe ,ila ninakubali yaishe ,ila dogo hakuna alichokosea ,kila kitu kimepangwa kikapangika
 
wenye akili TUNAJUA kwamba Jiwe yupo nyuma ya mpango wa Bashite kutoka kuwa RC na kuwa mbunge...kwa vyovyote vile atawezeshwa kuwa mbunge tupende tusipende!.
Huyu ni msiri wa matendo yoote maovu ya wanaompinga/waliompinga Jiwe!!!.
 
Kwanza nikisoma comments nyingi za vijana jukwaani wengi wamejawa chuki na husuda dhidi ya kijana Makonda .

Na yote hayo yanatokana na wivu wa mafanikio yake.lazima mfahamu kwamba kama kuna RC aliepafomu kwa ubora jijini dar kwa miongo kadhaa ni Makonda ,hili lipo wazi, ispokuwa kwa wale walioapa kumpinga mpaka yesu Messiah atakaporudi

Niwahakikishie ya kwamba mpaka sasa Makonda hajapoteza chochote katika u RC Dar ,sana anelekea kaanan kwa uwezo wa mungu na huko mbeleni mtasononeka sana ,kwani kila mkizomea yeye hupanda ngazi zaidi

Kuhusu mpango wa yeye kugombea ubunge Kigamboni ni ndoto yake na hajakurupuka ,anamaandalizi ya muda mrefu,tulieni,ndio maana wabobezi wa mambo wapo kimya na wanajua nini kitafuata baadae,wale na mimi wa kukurupuka tuendelee kukurupuka

Kuna Alexander Mnyeti pia huyu mnafikiri pia kaacha u RC kwa tamaa," kalaghabaho"

Kithibitisho ni leo mkuu wakati anaongea baada ya kuapisha ,kaongea very technically, akijibu baadhi ya upuuzi wa mitandaoni .

Ukweli ni kwamba rohoni kwa mtu ni mbali sana ,tutakao waamini wanasiasa tuwaamini tu ,ila upande wangu lazima niwe na kiasi cha kuwaamini ,za kuambiwa changanya na zako.

Mwisho kabisa kama mungu atatupa uhai siku za usoni Makonda atang'aa sana ,hii mishale mnayorushia nyuma ya keyboards itakuja warudia wenyewe,labda kifo kitenganishe ndoto zetu na zake pia.

Sasa Paul Makonda kama kumbe ulikuwa unataka tuijue hii ID yako nyingine unayoitumia hapa Jamvini kwanini husemi hadi unasumbuka tu hivi?
 
Riziki ya mtu inatoka kwa Mwenyezi Mungu,na kitokacho kwa Mungu hakuna wakukizuwia,
When one door closes another one opens.
Si kweli kuwa riziki ya mtu hutoka kwa MUNGU MWENYEZI.
MUNGU ni muumbaji na mwanademokrasia. Alipoumba binadamu,aliumba kwa mfano wake,maana yake nasi binadamu tu waumbaji. Mungu hana upendeleo wa kusema huyu ampe riziki na yule amnyime. Hakuna hilo.
 
Sikubaliani na wewe ,ila ninakubali yaishe ,ila dogo hakuna alichokosea ,kila kitu kimepangwa kikapangika
Sawa muzee! Lakini kama mambo yanapangwa kwa mpangilio huu basi ni aibu kwa mabosi wake sio yeye

Kwanza nikisoma comments nyingi za vijana jukwaani wengi wamejawa chuki na husuda dhidi ya kijana Makonda .

Na yote hayo yanatokana na wivu wa mafanikio yake.lazima mfahamu kwamba kama kuna RC aliepafomu kwa ubora jijini dar kwa miongo kadhaa ya tawala zilizopita ni tawala ya kijana Makonda ,hili lipo wazi, ispokuwa kwa wale walioapa kumpinga mpaka yesu Messiah atakaporudi

Niwahakikishie ya kwamba mpaka sasa Makonda hajapoteza chochote katika u RC Dar ,sana anelekea kaanan kwa uwezo wa mungu na huko mbeleni mtasononeka sana ,kwani kila mkizomea yeye hupanda ngazi zaidi

Kuhusu mpango wa yeye kugombea ubunge Kigamboni ni ndoto yake na hajakurupuka ,anamaandalizi ya muda mrefu,tulieni,ndio maana wabobezi wa mambo wapo kimya na wanajua nini kitafuata baadae,wale na mimi wa kukurupuka tuendelee kukurupuka

Kuna Alexander Mnyeti pia huyu mnafikiri pia kaacha u RC kwa tamaa," kalaghabaho"

Kithibitisho ni leo mkuu wakati anaongea baada ya kuapisha ,kaongea very technically, akijibu baadhi ya upuuzi wa mitandaoni .

Ukweli ni kwamba rohoni kwa mtu ni mbali sana ,tutakao waamini wanasiasa tuwaamini tu ,ila upande wangu lazima niwe na kiasi cha kuwaamini ,za kuambiwa changanya na zako.

Mwisho kabisa kama mungu atatupa uhai siku za usoni Makonda atang'aa sana ,hii mishale mnayorushia nyuma ya keyboards itakuja warudia wenyewe,labda kifo kitenganishe ndoto zetu na zake pia.
Yupo anapakatwa na mkuu kwanini asing'ae ila kwa juhudi zake binafsi hana kitu. Kwanza je, alishamaliza masomo yake kule MUCCOBs?
 
Mbegu ya chuki na husuda imepandwa na chama chako cha mapuuza.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom