Kwani pacha miss neddy tulishakula mpunga?lolKwanini watu wa aina hii huwa ni wakristo tu?
Yani mnawekana kinyumba kama baba na mama huku hamjawa verified, inatokea mara nyingi kwa dini hii tu,
Nani kahalisha huu utamaduni?
^^
Imperfect matches... Unakutana na mtu, unavutika, anakulima masharti, unakubali, unaingia kwenye ndoa, leo hili, kesho lile, kesho kutwa vile, mnasuluhishwa, mnashauriwa, Lakini njia ni kutengana!
Yote ni imperfect matches!
^^
Marriage(ndoa) is the last stage of relationship ,what do you expect after reaching peak(rise)?sensibly fall ,binadamu we are damn so creative you see baada ya ndoa hamna kitu kinafuatia ,ila kwenye uchumba wanakua bado hawajafikia hatua ya mwisho
Hili ni wazo langu binafsi ,katibu mwenezi kutoka teamB
Kwanini watu wa aina hii huwa ni wakristo tu?
Yani mnawekana kinyumba kama baba na mama huku hamjawa verified, inatokea mara nyingi kwa dini hii tu,
Nani kahalisha huu utamaduni?
Hata baada ya kukaa miaka 5 bado anakuwa ameficha tu makucha?
Na huo muda mliokaa kabla ya ndoa haya masharti hayakuwepo?
Hapo ndo chanzo cha kukosa creativity because hawana next stage ya kwenda tenaKwahiyo mkuu raha ya safari sio kufika unakoenda bali ni kabla ya kufika?
^^
Kuna tofauti ya maisha kabla ya ndoa, ndani, na baada ya ndoa. Kabla ya ndoa ni kukubaliana ili usipoteze penzi, ndani ya ndoa ni sheria, na baada ya ndoa ni kanuni ya majuto na lawama.
^^
Namfahamu jamaa yetu mmoja alimpa binti mmoja (jirani yake) ujauzito... then wakaamua kuishi pamoja bila kufunga ndoa (kuirasimisha) wakazaa na mtoto wa pili. Baadae wakashauriwa wakafunge ndoa. Wamefunga ndoa Jumapili tukala na kunywa wiki ilioanza kesho yake ikafika ijumaa wakakorofishana (sikumbuki kisa ni nini) Mtoto wa kwanza alikua darasa la kwanza hadi leo yupo la saba HAWAJAWAHI KURUDIANA toka siku ile. Kila mmoja hataki na kila mmoja anasema mwenzake hawezi kuoa/olewa as far as ndoa ya kikristo is concerned. (tuseme ndoa rasmi ilidumu kwa siku nne ne nusu). Matokeo yake sasa watoto wamekosa mlezi ya wazazi.
Nami navutiwa kujua ni nini kinachotokea apa? ni either kiburi cha kuwa kwa kuwa tumefunga ndoa hawezi tena kuniacha au ni nini? Maana pengine alikua akiishi akitengeneza mazingira ya kuolewa rasmi ila baadae yakishatimia malengo ndio mwisho wa ndoa au ni nini? Kwani kuna ulazima gani wa ndoa kama haupo tayari?
Nafikiri ntajifunza kitu kipya apa.
Mkuu sana Eiyer binafsi nimeishi katika nadharia hii, unakuta mpo kwenye mahusiano ya muda mrefu na yenye malengo na ndoto nyingi nyingi za badae ila tragedy inatokea pale mnapotaka kumaanisha kwa kufunga ndoa! Sijui ni sababu gani hasa ila mara nyingi nadhani inatokea kwa sababu it happen to be!
Labda kwa sababu kabla ya ndoa kila mtu alikuwa anajiona hana wajibu na majukumu mazito kwa mwenzie, labda kila mtu alikuwa anapuuzia maudhi madogo madogo na hata makubwa kwa kujipa moyo anaweza kumuacha mwenzie muda wowote...na akawa free
Baada ya ndoa labda ndo anastuka kwamba huyo ndo wake, tena milele, ana wajibu juu yake.....hapa ndo mtu anaanza kuyapa uzito hata yale yalokuwa hayampi shida na alokuwa anayadharau....