Kwanini ATCL wamejiondoa Mbeya?

Unaonekana mteja mzuri wa Rungwe Express na Majinja ungekua mteja wa atcl ungejua tu safar bad zipo
 
Wanabodi nimeangalia kwenye booking option ya ATCL nimeona hakuna uwanja wa Mbeya na bada ya kuliza nikaambia labda atcl inapunguza safari kutokana na kuwa na upungu wa ndege.je hii ni kweli?
Wacha uwongo, Mbeya haijawahi kuwa na airport. Unataka ndege kubwa kama bombadier itue Mwanjelwa? Uwanja wa ndege upo Songwe, mkoa jirani na Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…