Of last alipokuja aLIIngia usiku wa saa 1.30, akalala sehemu ya maficho, na asubuhi kafungua mkutano wa Takukunguru AICC, na by saa 4 akachapa lapa kurudi Dar, chini ya ulinzi mkali ajabu!Wajinga wametoweka kwa kiwango kikubwa Arusha. Mtaji wa ccm siku zote ni wajinga! Hata rais aliyetangazwa mshindi na NEC anajua ccm haina chake Arusha, kwasababu watu wa Arusha wamepata elimu ya democrasia, ndiyo maana tokea atangazwe mshindi hajawahi kukanyaga Arusha kwa kufanya Mkutano.
Mkuu,A twn mji wa wajanja...na watu wanajitambua...i wish watu wa Tanzania nzima wangekuwa kama pipo za A twn..coz hata watoto wadogo huwaambii kitu kuhusu CDM. Pita kila kona ya mji, gereji, sokoni, n.k....ni chama kubwa CDM.
Mkuu,
Ulipotaja gereji umenikumbusha sehemu moja hapa A-Town inaitwa SIDO(kuelekea Unga-Ltd), kuna magereji mengi sana, actually wengi tunatengenezea huko mikweche yetu, maana services hazina tofauti na magereji makubwa, lakini bei ni ya kizalendo sana!
Eneo hilo lilitekwa na ccm, wanalifanya ni lao kabisa!...Sasa balaa ya eneo hilo hakuna mtu hata mmoja wa ccm katika population inayozidi watu 2000 wa hapo. Lakini kwa vile eneo ni la ccm, wote wamebaNDIKA picha za Kikwete na bendera za ccm zinapepea vibaya mno, mioyoni ni watu wa level nyingine kabisa wote ni cdm damu!
Wanasema hawana jinsi ya kuishi hapo kinyume na kuonyesha unaipenda ccm, maana utafukuzwa na kuporwa eneo.
Peopleeees Power!
Kule kwa maukweli besti!...Ngoma inapigwa service kwa 40K wakati ukienda pale Captain Sakina unalambwa 100K!kumbe jombaa na wewe ni chama la kule kwa wakereketwa....
Acha matusi Arusha ni kama sehemu nyingine yoyote katika Tanzania sema UBINAFSI UDINI NA UKANDA ndo umewajaa sana na watu wengi wa Arusha wanaona Chadema ndo mali yao kwakuwa kina Mwenyekiti ambae ametokea Hai na ni mkwe wa muasisi wa Chadema pia Katibu Mkuu ni kutoka Mbulu hivyo kutokana na ubinafsi walokuwa nao wanaona hawana Chama cha kushabikia zaidi ya Chadema na ajenda yenu ya kutaka kuwatumia Watanzania wengine kwa kuwadanganya kuwa Chadema itawaletea ukombozi watu washagutuka na hiyo ajenda ya SIRI!Kule Arusha watu wana uelewa sana kuhusu haya majambazi ccm but so kama kule tanga kwani wao hawajui chochote kile kwao kazi ni midundiko, vigodoro usiku kucha mpaka asubuhi zas y mi huwa nasema sehemu ambazo zimekaliwa na waarabu watu wake wengi huwa ni vilaza wa elimu ya uraia.
Of last alipokuja aLIIngia usiku wa saa 1.30, akalala sehemu ya maficho, na asubuhi kafungua mkutano wa Takukunguru AICC, na by saa 4 akachapa lapa kurudi Dar, chini ya ulinzi mkali ajabu!
Arusha ni jeshi kubwa sana linaloendelea kukua...kizazi cha sasa chote, tuseme Primary na Secondary schools hakuna mwanafunzi yeyote anayeweza kutamka, acha kushabikia ccm, walishapita enzi hizo, wako ng'ambo ya pili!...kuna picha ilibandikwa humu wakati wa kampeni Arumeru, watoto wa Nursery wamepiga full-kombati(aka magwanda), sasa fikiria watoto kama wale utaanzia wapi kuwabadili fikra zao kichwani waipende ccm, maana akili yao ishajua ccm=mafisadi!
Kizazi cha ccm cha akina Mzee Mrema(aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini)kinapukutika kwa haraka, na hata leo hii ukifanyika uchaguzi wa Mbunge Arusha, zile kura 36,000 alizopata Buriani hazitaweza kupatikana tena, sanasana wataishia na nusu yake, au chini ya hapo.
Imagine leo watu walikuwa wanazima moto uliokuwa unateketeza vibanda eneo la 'Chini ya Mti', huku wakiimba Peoples Power!...Sasa fikiria kazi ya kuzima moto ni ya kijamii, na wala haihusiani na siasa kabisa, lakini zoezi zima lilitiwa hamasa na slogan ya chadema!
Arusha iko Next Level!