Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Nimesikia Startv owner ana personal beef na Lowassa....
ukitaka umalize siku yako kwa amani usijaribu kuangalia tbc na star tv
Ukiachilia mbali makada wa CCM,ambao kimsingi ni wapinzani wa CHADEMA/UKAWA,wanasiasa wote ambao wanazungumza kwa kuiponda CHADEMA/UKAWA hupitia Star TV. Kwasasa,vipindi vya Tuongee Asubuhi na Ajenda Uchaguzi 2015 vipo kwa ajili ya watu hao.
Kwa siku za karibuni,Star TV haijawahi kumkaribisha mwanasiasa au mwananchi mwenye mtazamo wa kuwaunga mkono CHADEMA/UKAWA. Star TV haiwachanyi wenye mawazo tofauti ya kisiasa kama walivyo ITV,Azam TV na wengineo. Kwanini? Ina tofauti gani na TBC1?
Ukitaka jibu hili uliza kwanini anti ccm wote wanaongelea ITV?
Nimesikia Startv owner ana personal beef na Lowassa....
Inashangaza kuona bado kuna watu wana support CCM
Nadhan hapa hamna hoja ya msingi,mbona ukawa nao wana vyombo vyao,no body ask,ukawa acheni kuogopa vivuli vya wenzenu hahahah
Inashangaza kuona bado kuna watu wana support CCM
Mkuu tupo huku kusaka tonge tuu, ila Oct 25 kura kwa Lowassa.