mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,231
Nimejaribu Kufuatilia mara nyingi , Pale Panapokua na kiongozi zaidi ya mmoja na ndani yake akawemo Raisi wa Tz John Magufuli , basi concetration yote itahamia kwake .
Ziara hii ya Ethiopia ndio imenidhibitishia kabisa ,Jaribu kutazama video aliyozungumza , baada ya kutoa Hotoba Fupi , Utaona Maraisi Wote Wakiwa wanamzunguka Yeye na Kila mmoja akijaribu japo Kusema nae Jambo walau kwa Dakika chache.
Yaani ni Kama Vile Mfalme Afike Kijijini Kwenu , Kila Mtu atahitaji amuone au apige nae picha .
Sijui kama wenzangu mmeliona hilo.
Je ni Utendaji wake kwa mda mfupi Madarakani ndio umempatia Unaarufu huo , Ama ni nini haswa. ?
Jambo la Pili ninaloweza Kumpongeza ni kuzungumza Kiswahili kwa Confidence ya Hali ya juu , na hakuna aliyeshangaa Wala Kustaajabu , sasa Lugha itafika Mbali.
By N.E.K